Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukar

Hakuna Soda isiyokua na Sukari... Tambua hilo
 
Yana sukari kibao hayo ma zero!
Jaribu uonje, hiyo zero ni porojo tu.
Kwani kuna mtu atawashitaki kwa udanganyifu? Hakuna anayejali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na soda mkuu sio nzuri kunywa maji, juice fresh, recipes za matunda Kama matikimaji,kunywa maziwa mgando..
Achana na soda kabisa kwani usilolijua Ni sawa na usiku wa giza
unaacha kunywa soda kuogopa sukari,halafu unaenda kufa kizembe kwenye kukanyaga mafuta ya mwamposa si ufala huo.
 
Unawalaumu kwa kukupunguzia sumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti usinywe soda ina sumu na madhara kwa mwili.. Hivi karne hii kipi unakula au kunywa kisicho na madhara? Tuko karne ya 21 na kwa wakazi wengi wa mijini tunatumia bidhaa za viwandani ambazo nyingi zina sumu so labda tufunge virago twende mistuni tukaishi maisha ya kihadzabe kula matunda na mizizi ndo tutaziepuka hizi sumu.. Ila cha kushangaza hata hawa wahadzabe wasiokunywa soda wala bidhaa yoyote ya kiwandani hawaishi milele bado tu wanakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…