Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa hata beki wao tegemeo Thiago Silva alikuwa nje mechi ile huku wakimtegemea David Luiz aongoze safu ya ulinzi, wote tunajua udhaifu wa David Luiz.German ilikuwa kali sana but Brazil ilikuwa mbovu sana.
Ukizingatia pia Brazil hawakuwa threat baada ya Neymar kuumizwa na Christian Zapata ile game na Colombia.
Hivyo kwa German ilikuwa free kujifungia katika defence mbovu kama ile.
Ukiangalia vizuri ile Mechi Luis Gustavo alikuwa amepotezwa sana pale katikati kiasi kwamba defence ilikuwa vulnerable sana.
Angalia baada ya kuingia Ramires timu ilibadilika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa siku ile aliishia kulia huku kamasi zinadondoka baada ya kula 7.