Hivi scolari aliwaza nini kuchagua brasili mbovu vile 2014

Hivi scolari aliwaza nini kuchagua brasili mbovu vile 2014

German ilikuwa kali sana but Brazil ilikuwa mbovu sana.

Ukizingatia pia Brazil hawakuwa threat baada ya Neymar kuumizwa na Christian Zapata ile game na Colombia.

Hivyo kwa German ilikuwa free kujifungia katika defence mbovu kama ile.

Ukiangalia vizuri ile Mechi Luis Gustavo alikuwa amepotezwa sana pale katikati kiasi kwamba defence ilikuwa vulnerable sana.

Angalia baada ya kuingia Ramires timu ilibadilika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa hata beki wao tegemeo Thiago Silva alikuwa nje mechi ile huku wakimtegemea David Luiz aongoze safu ya ulinzi, wote tunajua udhaifu wa David Luiz.
Kwa siku ile aliishia kulia huku kamasi zinadondoka baada ya kula 7.
 
Kuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.

Chief, utakuwa umepoteza memory,,,,hizo takataka za njano ama vyura fc waripigwa goli 7 na Germany mashin 2014,,,,mara yamwisho Argentina kawadunga hao vyura goli moja kwa 0, mfungaji wa goli hilo ni mchezaji bora kuwai kutokea,,La pulga
 
Mkuu punguza ushabiki wa kibongo.
Argentina walipigwa na Brazil tena baadhi ya wachezaji wa Brazil na Argentina walipanda ndege moja toka ulaya kwenda kwao kucheza hiyo mechi.
Messi alikuwemo.
 
Mkuu punguza ushabiki wa kibongo.
Argetina walipigwa na Brazil tena baadhi ya wachezaji wa Brazil na Argentina walipanda ndege moja toka ulaya kwenda kwao kucheza hiyo mechi.
Messi alikuwemo.

Mkuu, mimi nazungumzia friendly match,,,mchezo wa kwanza vyura walishinda, marudiano Argentina alishinda.
 
Back
Top Bottom