Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mpira wa bongo unaendeshwa kivyetu vyetu yani
Washabiki wa mpira hisia zetu zinaendeshwa zaidi na WASEMAJI kuliko fikra huru..... ukijumlisha na wachambuzi uchwara washabiki wa mpira tumekuwa mambumbu
Tukiweka pembeni Tambo za Semaji la CAF kuhusu mbwembwe za sajili, tujikite kwenye fikra huru
Mchezaji anasajili kwa kiwango na takwimu alizokuwa nazo huko alikotoka
Vipi takwimi za Fredy huko alikotoka?
Vipi kuhusu form ya timu mpya? Inacheza kulingana na nature ya mchezaji?
Usajili ni KAMALI wakati mwingine na haswa kwa wachezaji wenye viwango vya kati