Hivi Scout ya Simba sc Inawafanya Mashabiki Wa SIMBA SC ni Mambumbu sana

Hivi Scout ya Simba sc Inawafanya Mashabiki Wa SIMBA SC ni Mambumbu sana

Mpira wa bongo unaendeshwa kivyetu vyetu yani
Washabiki wa mpira hisia zetu zinaendeshwa zaidi na WASEMAJI kuliko fikra huru..... ukijumlisha na wachambuzi uchwara washabiki wa mpira tumekuwa mambumbu

Tukiweka pembeni Tambo za Semaji la CAF kuhusu mbwembwe za sajili, tujikite kwenye fikra huru

Mchezaji anasajili kwa kiwango na takwimu alizokuwa nazo huko alikotoka
Vipi takwimi za Fredy huko alikotoka?
Vipi kuhusu form ya timu mpya? Inacheza kulingana na nature ya mchezaji?

Usajili ni KAMALI wakati mwingine na haswa kwa wachezaji wenye viwango vya kati
 
Freddy bonge la striker ***** jamaa ni bullstriker kwelikweli beki hazipandi huyp ni haland wa bongo tumpe muda
 
Basi tuweke mezani namba za fredy na gwedegwede..samahani lakini
 
Wanasimba baadhi tatizo lenu unafiki,kama kwa onana na fundi lakred,mpaka sasa fredy anagoli 3 kwenye ligi na kaingia msimu wa dirisha dogo,kaingia na mastriker kama guede la yanga ambalo halina hata goli moja hahahahah sasa mnataka nini?
 
5imba inasajili wachezaji wa kawaida sana,lakini turufu yao kubwa ni ndumba wakiamini zitafill the gap.
 
Reshuffle stage.... Wenye akili wakiwepo ndio kitu pekee kinahutajika kwa Simba.. ila kwakuwa mbumbu ni wengi mpaka mashabiki hawawezi kuelewa... Duniani kote huwezi ukawaondo wafungaji wote katikati ya msimu afu ukaleta wapya hili linafanyika kwa wajinga tu.... Unamuondoa mfungaji mwenye Gori 8 ndani ya mechi 12?. Simba hawakuhitaji pressure dilisha dogo walihitaji kuboresha kikosi kias na kujianda msimu mpya kibingwa na sio kukimbizana na yanga ambayo ipo kweny peak. Yanga kukaa misimu 4 bila ubingwa waliamu kufanya maamzu magumu yakuanza upya.

Ni hatari Sana kwa timu kumtegemea mchezaji mmoja kufanya matokeo ya wachezaji 30.
 
Ngoja niwasaidie Kamati ya Usajiri ya Simba.

Kuna wachezaji wa Kigeni wa kuwaondoa dilisha kubwa lijalo.
Ni afadhari tuangalie wachezaji wa ndani.

Freddy. huyu haiwezi kabisa ligi ya bongo hata mkimbakisha mtakuja kumwondoa tu. kiwango chake ni kidogo sana.

Luiz Miquesson. huyu mpira umeisha kabisa. Miguu yake ishalegea na haiwezi kukaa sawa tena, sijui nini kilimpata.

Barbarca. huyu uwezo wake ni kawaida sana. anapenda kupumzika uwanjani, hafaiti kama Mzamilu. mipira mingi anarudisha nyuma. kwa kiwango chake hatoshi Msimbazi.

Ntibayonkiza. Naye aangaliwe anapoteza sana mipira shauri ya papara. Aangaliwe hadi mwisho wa msimu. Nadhani akili yake inataka mwili unakataa shauri ya Umri.
.............................................................

Per Omar Jobe kibongobongo yuko vizuri, kwa kiwango chetu cha pesa anatosha.

Onana amesha iweza ligi, aache tu ubishoo.
 
Back
Top Bottom