Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

Yani ni aibu...naonaga huko tiktok yani sidhani kama wanavaa yupi...
Nasikia tiktok kuna wanawake mabint wao wanakatika kuanzia asubuhi mpaka usiku 24/7 ndy shuguli yao 😄
Na wanatambulika kama wasanii
Basi wana inspire vitoto vidogo na wao wanataka kuwa kama wao

Ova
 
Nasikia tiktok kuna wanawake mabint wao wanakatika kuanzia asubuhi mpaka usiku 24/7 ndy shuguli yao 😄
Na wanatambulika kama wasanii
Basi wana inspire vitoto vidogo na wao wanataka kuwa kama wao

Ova
Acha tuu kaka...dunia ya kwenye mitandao ni mbaya mnoo natamani wtt wangu wasije wakashika simu ila ndio haiwezekani...kila kitu kipo yani kila kituu ni utashi tuu wa mtu aangalie nini..daah nawaonaga hao mabinti...
 
Hatari sana,maana sahv watoto wanakuwa inspired na watu wanaofanya mambo takataka tu

Ova
 
sasa wanafundishwa toka utoto wao,, lazima wacheze bwan
 
Watoto wasiyo na baba utawaambia Nini, wameanza kuziona dushelele kabla hata hawajafikisha miaka 10
 
Temeke, Tandika, Buza na Mbagala kuna vigoma wanaviita kibao kata na full laana.

Wenyewe wanakwambia radhi inamwagwa nje njeeee!!!

Mama mkanye mwanao.
 
Zinachezwa hadharani huku watu wote wakishuhudia au zinachezwa ndani!?

Kama ni hadharani huko mitaani, wakuu wa kamati za ulinzi na usalama za mitaa hawatimizi majukumu yao.
Wanatakiwa kutimiza majukumu Yao sasa. Vipi maoni yako unaona ni sawa mkuu?
 
Hayo ni mambo binafsi serikali Ina wajibu wakushughulika na Yale matatizo makubwa zaidi Kama ukosefu wa ajira,gharama za matibabu,ugumu wa maisha hayo mambo ya kulinda maadili kwenye michezo ya baikoko yashughulikiwe na watendaji wa kata na wajumbe nyumba kumi
Asante kwa kuchangia
 
Temeke, Tandika, Buza na Mbagala kuna vigoma wanaviita kibao kata na full laana.

Wenyewe wanakwambia radhi inamwagwa nje njeeee!!!

Mama mkanye mwanao.
Aise ningekua kiongozi wa serikali eneo hilo wangenitambua huyo DC wa temeke ni nani?
 
Mkuu umeshudia mara ngapi? Kama ni zaidi ya moja basi nawe ni mpenzi wa hayo mambo.......... Kwani haya yanafanyika katika kumbi za starehe,inawezekana nawe pia umekua ukivutiwa sana
 
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi .
Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali wapo wanaangalia.
Hivi ni maadili gani tunaifunza jamii yetu? Naomba serikali kudhibiti hii michezo huu ni upunguwani kabisa kama siyo ufirauni unataka kuzoeleka katika jamii yetu. Inanikera sana hii tabia. Mh waziri muhusika naomba ushughulikie hili suala ASAP
Wote màpuñguani tuu, mnaoangalia hao wanaocheza na wanaocheza wote punguani wahed.
 
Zinachezwa hadharani huku watu wote wakishuhudia au zinachezwa ndani!?

Kama ni hadharani huko mitaani, wakuu wa kamati za ulinzi na usalama za mitaa hawatimizi majukumu yao.
Chukua simu yako
Iwashe
Hakikisha ina bando
Washa data
Nenda youtube
Bonyesha palipoandikwa search
Andika BAIKOKO
Angalia video kama 5 kisha uje hapa na majibu mkuu ni hayao tu
 
Back
Top Bottom