Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

Hayo ni mambo binafsi serikali Ina wajibu wakushughulika na Yale matatizo makubwa zaidi Kama ukosefu wa ajira,gharama za matibabu,ugumu wa maisha hayo mambo ya kulinda maadili kwenye michezo ya baikoko yashughulikiwe na watendaji wa kata na wajumbe nyumba kumi
Watendaji wa kata so ni sehemu ya serikali?maadili ya nchi ni mambo binafsi tangu lini?
 
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi .
Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali wapo wanaangalia.
Hivi ni maadili gani tunaifunza jamii yetu? Naomba serikali kudhibiti hii michezo huu ni upunguwani kabisa kama siyo ufirauni unataka kuzoeleka katika jamii yetu. Inanikera sana hii tabia. Mh waziri muhusika naomba ushughulikie hili suala
Miaka 14 nyuma nilikuwa nikistaajab kuona waafrika Magaribi wakicheza/kutingisha matako nusu uchi kwenye makusanyiko yao (Sabar /Mapouka Dance) nikawanajisemea wana laana hawa watu, hiki kikombe kitupitie mbali.
Ila sasa upepo umebadilika Wadada na wamama wa Tanzania sasa wanaocheza uchi wa mnyama mbele ya watoto huko mitaani. Iwe vanga,Kigoma cha Shetani au Brassband lazima wavuenguo kama wendawazimu, huko nje(Mitandaoni) wanasema eti ndio utamaduni wetu tokea zamani.
Maadili hayapo tena huko kwenye kumbi ni Usodoma mtupu wanaingiliana kama wanyama na video zinauzwa dunia Naima, Baikoko inavuma sio Mapouka tena.
 
Mkuu umeshudia mara ngapi? Kama ni zaidi ya moja basi nawe ni mpenzi wa hayo mambo.......... Kwani haya yanafanyika katika kumbi za starehe,inawezekana nawe pia umekua ukivutiwa sana
je hapo kwenye hii clip ni ukumbini?
Cheki watoto wanavyoharibiwa Mtaani.
Dkt. Gwajima D

Mods Mnisamehe bure kwa hii video Asee tutaficha ugonjwa mpaka lini?
 
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam ikizidi kukuwa kwa kasi .
Mkuu wa mkoa yupo , Wakuu wa wilaya wapo na viongozi wote wa serikali wapo wanaangalia.
Hivi ni maadili gani tunaifunza jamii yetu? Naomba serikali kudhibiti hii michezo huu ni upunguwani kabisa kama siyo ufirauni unataka kuzoeleka katika jamii yetu. Inanikera sana hii tabia. Mh waziri muhusika naomba ushughulikie hili suala ASAP
Hovyo sana yani,tena kunanyimbo za singeli za hovyo zinaimba nataka kwenda toilet,mara mi msela mavi ujuwe nitakutoboa na bisibisi ujuwe yani hovyo.
 
Hayo ni mambo binafsi serikali Ina wajibu wakushughulika na Yale matatizo makubwa zaidi Kama ukosefu wa ajira,gharama za matibabu,ugumu wa maisha hayo mambo ya kulinda maadili kwenye michezo ya baikoko yashughulikiwe na watendaji wa kata na wajumbe nyumba kumi
Hao watendaji wenyewe kipindi kile cha kampeni za uchaguzi serikali za mitaa walikuwa wanasindikizwa na hivyo vigoma vya shetani.
 
Back
Top Bottom