Hivi serikali haioni hawa wanawake wanaocheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko?

Watendaji wa kata so ni sehemu ya serikali?maadili ya nchi ni mambo binafsi tangu lini?
 
Miaka 14 nyuma nilikuwa nikistaajab kuona waafrika Magaribi wakicheza/kutingisha matako nusu uchi kwenye makusanyiko yao (Sabar /Mapouka Dance) nikawanajisemea wana laana hawa watu, hiki kikombe kitupitie mbali.
Ila sasa upepo umebadilika Wadada na wamama wa Tanzania sasa wanaocheza uchi wa mnyama mbele ya watoto huko mitaani. Iwe vanga,Kigoma cha Shetani au Brassband lazima wavuenguo kama wendawazimu, huko nje(Mitandaoni) wanasema eti ndio utamaduni wetu tokea zamani.
Maadili hayapo tena huko kwenye kumbi ni Usodoma mtupu wanaingiliana kama wanyama na video zinauzwa dunia Naima, Baikoko inavuma sio Mapouka tena.
 
Mkuu umeshudia mara ngapi? Kama ni zaidi ya moja basi nawe ni mpenzi wa hayo mambo.......... Kwani haya yanafanyika katika kumbi za starehe,inawezekana nawe pia umekua ukivutiwa sana
je hapo kwenye hii clip ni ukumbini?
Cheki watoto wanavyoharibiwa Mtaani.
Dkt. Gwajima D
Your browser is not able to display this video.

Mods Mnisamehe bure kwa hii video Asee tutaficha ugonjwa mpaka lini?
 
Hovyo sana yani,tena kunanyimbo za singeli za hovyo zinaimba nataka kwenda toilet,mara mi msela mavi ujuwe nitakutoboa na bisibisi ujuwe yani hovyo.
 
Hao watendaji wenyewe kipindi kile cha kampeni za uchaguzi serikali za mitaa walikuwa wanasindikizwa na hivyo vigoma vya shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…