Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya bangi inavyokatwa na wakulima wake wanavyokamatwa? Si mnaona wapika gongo na wanywa gongo wanavyokamatwa?
Sasa tuulizane, kuna sheria gani iliyotungwa inayopinga ushoga na mashoga nchi hii? Hata hiyo katiba ambayo ndiyo mama wa sheria zote nchini, imetamka kwamba inaheshimu faragha za watu.
Haya, huko mitaani kwetu hakuna mashoga? Mpaka bungeni wapo, na wanajulikana kwa majina. Ushasikia wamekamatwa? Kuna hoteli jijini DSM imepewa mpk barua ya pongezi kwa kufanya mashoga waishi vizuri. Umesikia serikali ama vyombo vya dola vikipanu mdomo na kutema cheche? Kimyaaa! Kana kwamba hakuna serikali wala vyombo vya dola.
Halafu hii vita ya ushoga tutaiweza na njaa zetu hizi? Anaye-promote ushoga ndiyo huyo huyo anayekufahili bajeti yako. Utaweza kumpinga kwenye jambo lake? Ni sawa na tajiri ambaye ni jirani yako, kila kitu anakusaidia, siku akimtaka mkeo atashindwa kumpata?
Hii vita hatuiwezi, ndiyo maana serikali imeufyata hata kutunga sheria kali za kuharamisha ushoga . Na hata mashoga wanatamba mitaani na sehemu za starehe. Hakuna anayethubutu kuwakamata.
K1apuya Foundation isitumike kama bangusilo (chambio) ili kuwahadaa wananchi kuwa iko serious na vita dhidi ya ushoga. Itungwe sheria na tuone mashoga wakianza kukamatwa.
Naomba kuwasilisha!