Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8, mnafuta matibabu Bure ya watoto wa maskini?
Leo mtoto mmoja anasaidiwa mguu bandia Kwa gharama za Serikali, chawa humu kina Lucas wanashangilia bila kujua kuwa kabla ya Samia kufuta bima za watoto, watoto walipata huduma hizo Bure Nchi nzima.
ATHARI ZA KUFUTA BIMA YA AFYA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 5.
1. VIFO VYA WATOTO VITAONGEZEKA.
Watazaliwa wengi, ila Kwa kukosa huduma za AFYA sababu ya kipato, vifo VITAONGEZEKA.
2. POPULATION ITAPUNGUA.
Kuongezeka vifo vya watoto kutokana na wazazi kushindwa kuhimili gharama za matibabu, kutasababisha kupungua idadi ya watu huko mbeleni, au ndio Hasa lengo la Serikali kupitia masharti ya mikopo wakopayo?
Tulitegemea kwamba kiongozi mkuu akiwa mwanamke, angekuwa wa kwanza kujali AFYA za watoto wa wananchi anaowaongoza, lakini imekuwa vinginevyo. Kiukweli CCM kura za wanawake, mtaishia kuzisikia tu chaguzi zijazo!!
Hili nalo mkalitizame!!
Pumzika Mzalendo JPM.
Karibuni 🙏