Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

Itafahamika tu 2024&2025,

Wanawake wenye watoto chini ya miaka 5 waliondolewa huduma Bure iliyokuwepo enzi ya Magu watatumia vizuri kura zao tutoa adhabu Kwa CCM!!

Tusubiri.
Wengi wanahitaji msaada kujua japo hilo nalo ni tatizo,wengi kwa kuwa mazoea habari za garama anapewa baba sii wa kutambia hilo leo wala kesho,wengi wataishia kulaumu baba ameacha kuhudumia familia bila kujua mabadiliko hasi kama haya yana madhara katika maisha ya kila siku na kuongeza sana gharama za maisha.
 
Athari zote ulizotaja haziathiri nchi labda kwa familia tu.
Population kupungua Ni faida kwasababu Tanzania inapopulation kubwa Tena idadi kubwa ikiwa niwatoto : [my intention nikuwa sioni wakitikisia na kuchukua Hatua ikiwa haiwaathiri]
 
Athari zote ulizotaja haziathiri nchi labda kwa familia tu.
Population kupungua Ni faida kwasababu Tanzania inapopulation kubwa Tena idadi kubwa ikiwa niwatoto
Familia ikilala njaa taifa hali athiriki ila familia?familia ikikosa uwezo wa kupata huduma za msingi taifa haliathiriki ila familia?Taifa likiongeza adui maradhi taifa hali athiriki ila famili?
 
Athari zote ulizotaja haziathiri nchi labda kwa familia tu.
Population kupungua Ni faida kwasababu Tanzania inapopulation kubwa Tena idadi kubwa ikiwa niwatoto
Kwamba unafurahia watoto wa maskini kufa Kwa kukosa matibabu?

Mawazo ya kisheteni haya🤔
 
Sifurahii nimefafanua madhara aliyoainisha mdau Soma Tena kwa utulivu uelewe
Kwa nchi yetu inayotegemea KILIMO kama backbone, huoni kupungua Kwa population ni kupungua Kwa nguvu KAZI ya vijana katika KILIMO na uzalishaji.
 
Kwa nchi yetu inayotegemea KILIMO kama backbone, huoni kupungua Kwa population ni kupungua Kwa nguvu KAZI ya vijana katika KILIMO na uzalishaji.

Nguvu kazi haiwahi kutosha Tanzania , kwasasa tupo milioni 63 lakini nguvu kazi Ni milioni 29
 
Utakuta kuna mijitu humu humu inasikitika kweli mwisho Inalewa Hongo inachagua shida tena....
 
Salaam, Shalom!!

Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8, mnafuta matibabu Bure ya watoto wa maskini?

Leo mtoto mmoja anasaidiwa mguu bandia Kwa gharama za Serikali, chawa humu kina Lucas wanashangilia bila kujua kuwa kabla ya Samia kufuta bima za watoto, watoto walipata huduma hizo Bure Nchi nzima.

ATHARI ZA KUFUTA BIMA YA AFYA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 5.

1. VIFO VYA WATOTO VITAONGEZEKA.

Watazaliwa wengi, ila Kwa kukosa huduma za AFYA sababu ya kipato, vifo VITAONGEZEKA.

2. POPULATION ITAPUNGUA.

Kuongezeka vifo vya watoto kutokana na wazazi kushindwa kuhimili gharama za matibabu, kutasababisha kupungua idadi ya watu huko mbeleni, au ndio Hasa lengo la Serikali kupitia masharti ya mikopo wakopayo?

Tulitegemea kwamba kiongozi mkuu akiwa mwanamke, angekuwa wa kwanza kujali AFYA za watoto wa wananchi anaowaongoza, lakini imekuwa vinginevyo. Kiukweli CCM kura za wanawake, mtaishia kuzisikia tu chaguzi zijazo!!

Hili nalo mkalitizame!!

Pumzika Mzalendo JPM.

Karibuni 🙏
Hoja ni ndogo kabisa wao ndio hawachangii Watu wao na zile wanazochanga wengine wanazikopa sasa mfuko utajiendeshaje? Wakaona kwakua asilimia kubwa ya wagonjwa ni watoto hivyo wanaona gharama kuwa kubwa wanasahau wao ndio wanaobebesha madeni taasisi kwakutopeleka michango au kuchelewesha ile hali watumishi wameshakatwa kwenye mishahara yao
 
Badala ya kufuta ununuzi wa ma Vx8, mnafuta matibabu yaliyokuwa yakigharamiwa na Serikali Kwa watoto!!

Tutakutana kwenye ballot box 2024&2025!!
Hayo mabox ya kura, Nape kasema si lolote Wala chochote!

Nape anadai, kushinda uchaguzi katika nchi hii, ni kujua tu anayehesabu kura na anayetangaza ni nani!😎
 
Hayo mabox ya kura, Nape kasema si lolote Wala chochote!

Nape anadai, kushinda uchaguzi katika nchi hii, ni kujua tu anayehesabu kura na anayetangaza ni nani!😎
Kura za wizi Huwa ni za kuongeza, ndio maana Huwa wanafanya compaign,

Usijali, tutawanyonga wezi wa kura na wizi utakoma.
 
Hoja ni ndogo kabisa wao ndio hawachangii Watu wao na zile wanazochanga wengine wanazikopa sasa mfuko utajiendeshaje? Wakaona kwakua asilimia kubwa ya wagonjwa ni watoto hivyo wanaona gharama kuwa kubwa wanasahau wao ndio wanaobebesha madeni taasisi kwakutopeleka michango au kuchelewesha ile hali watumishi wameshakatwa kwenye mishahara yao
Kwa Magu mbona iliwwekana
 
Bima ya afya ipi hiyo wamefuta na nilini?
Si bima in such,

Watoto chini ya umri wa miaka mitano,walitibiwa Bure hospital za Serikali.

Hivi sasa kitu hicho hamna.
 
Back
Top Bottom