ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe nyumbu mkubwa, matibabu yapi yaliyoguaramiwa na Serikali Kwa Bure? Kwa hiyo ulikuwa ukifyatua inapewa bima ya Bure si ndio?Sasa unachobisha ni nini?
Hujui kabla ya Samia, matibabu hayo yaligharimiwa na Serikali kupitia Kodi za wananchi?
Masega ya Asali mbichi yamekulevya?
Tuwekee viwango vya hizo bima za afya kwa wote humu kwa wasiojua wajueMumeambiwa Kila mmja akakate bima ya Afya ,sheria ya bima ya Afya Kwa wote imepitishwa wewe unaimba ngonjera za kijinga hapa.
Kwenye ziara kote Rais amesisitiza hili badala ya kujitokeza kwenye mikutano kuomba Msaada
Sasa tangu lini askari akaogopa kufa akiwa uwanja wa vita?Kuna mdau kasema hicho ndicho kilichomponza sativa!!
Jitoe tu ufahamu!!Wewe nyumbu mkubwa, matibabu yapi yaliyoguaramiwa na Serikali Kwa Bure? Kwa hiyo ulikuwa ukifyatua inapewa bima ya Bure si ndio?
Acha kuropoka ,nani huyo amewahi tibiwa Bure? Anyoshe mkono nikuone
Sababu ni sii hasaa,baada ya kuona kufilisika nje nje,Ikaona ni namna mojawapo ya kupunguza gharama,ila ikasahau wala kwa urefu wa kamba wana kula na kuvimbiwa hata kuhitaji matibabu.Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8, mafuta matibabu Bure ya watoto wa maskini?
Leo mtoto mmoja anasaidiwa mguu bandia Kwa gharama za Serikali, chawa humu kina Lucas wanashangilia bila kujua kuwa kabla ya Samia kufuta bima za watoto, watoto walipata huduma hizo Bure Nchi nzima.
ATHARI ZA KUFUTA BIMA YA AFYA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 5.
1. VIFO VYA WATOTO VITAONGEZEKA.
Watazaliwa wengi, ila Kwa kukosa huduma za AFYA sababu ya kipato, vifo VITAONGEZEKA.
2. POPULATION ITAPUNGUA.
Kuongezeka vifo vya watoto kutokana na wazazi kushindwa kuhimili gharama za matibabu, kutasababisha kupungua idadi ya watu huko mbeleni, au ndio Hasa lengo la Serikali kupitia masharti ya mikopo wakopayo?
Tulitegemea kwamba kiongozi mkuu akiwa mwanamke, angekuwa wa kwanza kujali AFYA za watoto wa wananchi anaowaongoza, lakini imekuwa vinginevyo. Kiukweli CCM kura za wanawake, mtaishia kuzisikia tu chaguzi zijazo!!
Hili nalo mkalitizame!!
Pumzika Mzalendo JPM.
Karibuni 🙏
Maamuzi yote ya hovyo ya awamu hii mwisho wake no 2025,baada ya hapo hakuna ujinga Tena utakaoendelea kama uongozi ukibadilika!Sasa tangu lini askari akaogopa kufa akiwa uwanja wa vita?
Pia nilikukumbusha kuwa, sisi Huwa hatuondoki kirahisi kabla ya mission iliyotuleta duniani kukamilika!!
Anyway, Kwakuwa mwalimu ana bima kubwa, hili wewe halikuhusu!!
Sasa Badala ya kuondoa ununuzi wa mav8 na kufuta safari za nje Ili kupata pesa za kugharimia matibabu ya watoto chini ya miaka 5, wao wanafuta matibabu Kwa mtoto wa maskini!!Sababu ni sii hasaa,baada ya kuona kufilisika nje nje,Ikaona ni namna mojawapo ya kupunguza gharama,ila ikasahau wala kwa urefu wa kamba wana kula na kuvimbiwa hata kuhitaji matibabu.
Hadi unajiuliza hawa jamaa wana brain kweli?Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8, mafuta matibabu Bure ya watoto wa maskini?
Leo mtoto mmoja anasaidiwa mguu bandia Kwa gharama za Serikali, chawa humu kina Lucas wanashangilia bila kujua kuwa kabla ya Samia kufuta bima za watoto, watoto walipata huduma hizo Bure Nchi nzima.
ATHARI ZA KUFUTA BIMA YA AFYA KWA WATOTO CHINI YA MIAKA 5.
1. VIFO VYA WATOTO VITAONGEZEKA.
Watazaliwa wengi, ila Kwa kukosa huduma za AFYA sababu ya kipato, vifo VITAONGEZEKA.
2. POPULATION ITAPUNGUA.
Kuongezeka vifo vya watoto kutokana na wazazi kushindwa kuhimili gharama za matibabu, kutasababisha kupungua idadi ya watu huko mbeleni, au ndio Hasa lengo la Serikali kupitia masharti ya mikopo wakopayo?
Tulitegemea kwamba kiongozi mkuu akiwa mwanamke, angekuwa wa kwanza kujali AFYA za watoto wa wananchi anaowaongoza, lakini imekuwa vinginevyo. Kiukweli CCM kura za wanawake, mtaishia kuzisikia tu chaguzi zijazo!!
Hili nalo mkalitizame!!
Pumzika Mzalendo JPM.
Karibuni 🙏
Enzi ya Magu, mav8 yalinunuliwa na Bado hakufuta matibabu Kwa watoto wetu chini ya miaka 5.Hadi unajiuliza hawa jamaa wana brain kweli?
Unaruhusu msafara wa zaidi ya magari 152 ,gharama za mafuta/per diem/services ni mabilioni ya tsh.
Kila mwaka unatenga around 600B kwa ajili ya kununua LC300 Series/V8
Kwa mujibu wa wala kwa urefu wa kamba na kuvimbiwa.Sasa Badala ya kuondoa ununuzi wa mav8 na kufuta safari za nje Ili kupata pesa za kugharimia matibabu ya watoto chini ya miaka 5, wao wanafuta matibabu Kwa mtoto wa maskini!!
Tutageukaje koloni mara nyingine kirahisi.Enzi ya Magu, mav8 yalinunuliwa na Bado hakufuta matibabu Kwa watoto wetu chini ya miaka 5.
Labda ni masharti ya mikopo ya kupunguza population ya watu duniani yanatimizwa!!
Unajiuliza,Kwa mujibu wa wala kwa urefu wa kamba na kuvimbiwa.
Akili zako hazina tofauti na za Mbuni!!Naona msaada alioutoa Mheshimiwa Rais jana na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania umewauma sana CHADEMA.Maana mmeona Rais anaendelea kupewa sifa na pongezi kutoka kila kona ya nchi yetu kutokana na moyo wake wa upendo ,utu ,huruma na kuguswa na Maisha ya watu.
Chawa ni kiporo tunayo ya muhimu zaidi kwa sasa.Naona msaada alioutoa Mheshimiwa Rais jana na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania umewauma sana CHADEMA.Maana mmeona Rais anaendelea kupewa sifa na pongezi kutoka kila kona ya nchi yetu kutokana na moyo wake wa upendo ,utu ,huruma na kuguswa na Maisha ya watu.
Wamefuga chawa wakutosha kuwazubaisha wabongo.Unajiuliza,
Wanapata wapi ujasiri kusimama majukwaani?
Walitakiwa kuwa wanazomewa!!
Mbuni mjanja nafikiri chawa tena mzee.Akili zako hazina tofauti na za Mbuni!!
Itafahamika tu 2024&2025,Wamefuga chawa wakutosha kuwazubaisha wabongo.
UKWELI ILIYO FUTA BIMA YA WATOTO SIYO SERIKALI NI YULE MPUMBAVU MJALAANA MVAA MASHUNGI WA ZANZIBAR MWENYE WAJOMBA OMANSalaam, Shalom!!