Hivi Serikali inajua athari za uchafu wa maji yanayosambazwa na Mamlaka za Maji Nchini?

Hivi Serikali inajua athari za uchafu wa maji yanayosambazwa na Mamlaka za Maji Nchini?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Habari wana JF,

Nilikuwa nasafisha tanki yangu ya kuifadhia maji, of cause baada ya sedimentation, ni udongo wa kutosha.

Now, natafakari mtu akinywa say litters 2000 za maji ya DAWASA kwa muda wa fulani say 20 years, si atakua amehifadhi kiasi kikubwa cha udongo achilia mbali sumu nyingine ambazo hazionekani kwa macho?

Hili jambo ni fikirishi na pengine kuna mtu afanyi kazi yake sehemu.

TAFAKARI NA UJIRATIBU
 
Back
Top Bottom