Hivi serikali inapata kodi kwa manunuzi ya nje ya nchi yanayofanywa na Watanzania?

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,077
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
 
Hakuna sehemu Mtanzania asipolipa kodi ukipanda daladala kufata mzigo wako posta ulioununua online umeshaingiza kiasi serikalini,ukinunua bundle kupata data kwa ajili ya kujua maendeleo ya mzigo wako pia ushalipa kodi so favor ya kutokukilipia kiboks chako ni kama traffic walivyoambiwa buku buku wanazokusanya ni za kubrush viatu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa,
Kwa mfano, nikinunua bidhaa Amazon/ Ebay/ Alibaba au nikilipia kitu google play store au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Inawezekana ikiwa unakifuata hicho ulichoagiza posta ndio wakakutoza ushuru, ila sina uhakika. Ukiingia navyo uwanja wa ndege, huwa wanafungua mizigo na kukupa makadirio ya kodi, sijui wanatumia kigezo gani kwani si mizigo yote inafunguliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sehemu Mtanzania asipolipa kodi ukipanda daladala kufata mzigo wako posta ulioununua online umeshaingiza kiasi serikalini,ukinunua bundle kupata data kwa ajili ya kujua maendeleo ya mzigo wako pia ushalipa kodi so favor ya kutokukilipia kiboks chako ni kama traffic walivyoambiwa buku buku wanazokusanya ni za kubrush viatu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kwa mfano nikilipa spotify hapa $10 kwa mwezi serikali inapata kiasi gani hapo?
 
Mkuu Kodi inalipwa kwa namna nyingi. Agiza kitu halafu uone kama hutolipa kitu. Usije ukawa ume post hii kwa chuki tu baada ya kuona fulani ananunua vitu nje na ukahisi halipii kodi. Agiza na wewe uone kama hutalipia.
Hujanielewa.......ukifanya in-app purchases je?
In-app maanake ukilipia kwa mfano google drive au google play music etc (huduma za mtandaoni)
 
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa,
Kwa mfano, nikilipia kitu google play store au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Boss kodi inalipwa pindi unapoingiza huo mzigo husika nchini. Mfano hai ni sisi waagizaji wa Magari kwamba, hakuna gari itapita iwe kwa ndege au kwa meli bila kulipiwa kodi na wanaangalia thamani halisi ya mzigo na kuufanyia makadirio.
 
Achana na kuagiza bidhaa.
Kama umetumia app za kwenye simu nyingi huwa na premium version ambayo lazima uilipie.....je hapo serikali inapata kitu?
 
Niliagiza saa eBay posta nikalipishwa 3000 natusenti kadhaa.. hiyo ndio Kodi au mpaka ulipe TRA..?
 
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa,
Kwa mfano, nikilipia kitu google play store au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
ukinunua kitu online kikija hapa utalipia exercise duty, import duty, dumping fee, etc. ukinunua service online ina maana utatumia mb za bando lako ambalo linalipiwa kodi, hakuna utakachokwepa we tumia tu.
 
Kwa mfano nikilipa spotify hapa $10 kwa mwezi serikali inapata kiasi gani hapo?

Mkuu kwa kifupi hakuna kisicholipiwa kodi hapa kwetu kwani hata ukiingia chooni pale mnazi mmoja na ukalipia na kupewa risiti ya machine ukiichunguza vizuri risiti hiyo utakuta kodi yao wameshachukua ila mahali pekee ambapo unaweza kukwepa kulipa kodi ni pale mnapofanya biashara haramu bila kufuata taratibu za risiti.
 
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa,
Kwa mfano, nikilipia kitu google play store au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Kaka utaumia kichwa,hakuna aliekuelewa.wewe unauliza kuhusu kununua app kupitia google play wao wanakujibu kuhusu magari.
Mi sijui serikali kama inapata kodi,naoina kuhusu technology bado tupo nyuma kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona bado watu hawajaelewa [emoji16]!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vizuri labda ukaelewa kuwa unapotumia bundle lako basi jua unalipa kodi au Amber Ruty akifikisha viewers kadhaa kwenye video yake napo Youtube Inamlipa naye in the process ya kuipata hiyo pesa basi atalipa kodi...

"Paying federal and state income taxes is required for every business, including those operated online, but the payment of sales tax is a hotly debated subject in some state legislatures. Traditionally, all businesses are expected to pay retail sales taxes where applicable under state law"
 
Mleta mada mtu yeyote yule anaeagiza vitu online vikiwa chini ya $20 hicho kitu hakilipiwi kodi ila kikiwa zaidi ya $20 i.e $21 na kuendelea hicho kitu kiñapaswa kulipiwa kodi hicho kitu kiforodha kinaitwa diminìmus Uganda wao diminimus ni $50 hio nimeiona kwa bitu vidogo vidogo kama.vi parcel etc
 
Mkuu kwa kifupi hakuna kisicholipiwa kodi hapa kwetu kwani hata ukiingia chooni pale mnazi mmoja na ukalipia na kupewa risiti ya machine ukiichunguza vizuri risiti hiyo utakuta kodi yao wameshachukua ila mahali pekee ambapo unaweza kukwepa kulipa kodi ni pale mnapofanya biashara haramu bila kufuata taratibu za risiti.
Sawa kabia kukojoa mjini na kunya unalipa kodi huyu bwana anadhani kule TCRA au TRA hawana simu.
 
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa,
Kwa mfano, nikilipia kitu google play store au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
Weng hatujakuelewa kwa ,kwa mujibu wa swali lako jibu Ni hapana hatlipi kwa sababu ,bado hatujafikia huko naamin,,na mnaotoa majibu ya kuagiza magar ,saa n.k.kumbuken mwenzetu hajauliza hicho mnachomjibu
 
Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa,
Kwa mfano, nikilipia kitu google play store au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle?

Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
KIla chenye kustahili kodi kinalipiwa. kije kwa posta, DHL
 
Sawa kabia kukojoa mjini na kunya unalipa kodi huyu bwana anadhani kule TCRA au TRA hawana simu.

Unajua wengi wa vijana wetu hata hili la simu zetu kuandikishwa kupitia namba za NIDA hawajaliangalia kwa undani wao wanafikiria tu kuhusu wale matapeli wa " Nitumie pesa" kumbe nyuma ya pazia kuna tochi kali sana ya uchumi wetu
 
Back
Top Bottom