Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Matamko yalianza mkoa kwa mkoa kuanzia na wakuu wa polisi mikoa kuwaita bodaboda na bajaji na kuanza kuwaonya kuhusu maandamano ya D9. Hao si watu huru? Hao si wajasiriamali? Hao si watu wazima? Mbona kuwatesa kwa kujifanya mnawashauri.
Mmechangia kiasi gani kuboresha maisha yao? Hawana ndugu na jamaa walioathirika kwenye MO29? Wanaweza kufanya maamuzi yao, waacheni.
Mmechangia kiasi gani kuboresha maisha yao? Hawana ndugu na jamaa walioathirika kwenye MO29? Wanaweza kufanya maamuzi yao, waacheni.