Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Gen Z wanaelewa?Sasa hivi huko vyuoni ndo shida tu.
Gen Z wanaelewa?
Wanawaangalia usoni tu,wale waliotoka huko kantalamba na hawajuu smart phone ndio wakuwadanganya ,sio kijana wangu kasoma Iyunga boysGen Z wanaelewa?
Kifo si kitu unaweza kumtisha MTU aliyeamua kuongelea Haki,kuishi Haki,na kutaka hakiwana hamu mno ya kufa
Sio kufa tu, bali kufa kwa ajili ya HAKIwana hamu mno ya kufa