Hivi serikali ya CCM mnachokifanya ni kile kile cha Zimbabwe kwa mugabe.

Hivi serikali ya CCM mnachokifanya ni kile kile cha Zimbabwe kwa mugabe.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania.

Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa maneno na matendo.

Nimeshindwa kuelewa mpaka sasa yani CCM ina vikundi vya siri ambayo sasa vinauwezo kuwa wa kijeshi,kiusalama na uwezo wa kumchukua mtu yoyote wamtakaye ambaye ni tatizo kwao.

Haya mambo kuna siku vyombo vya polisi,jeshi,TISS na idara nyengine zipo kama pambo mkijua msaada kwenu.

CCM wana makambi ya siri ambayo kwa picha yana tisha jamani.

Maelezo yao ndio ukweli wao..
 
Wanajidanganya tu, history tayari imeonyesha mambo wanayofanya sasa yataishia kwenye aibu na fedheha, mwisho wake watafeli vibaya, jela, vifo au kukimbia nchi tu
 
Back
Top Bottom