Narudia kusema CCM ni wapuuzi wenye afadhali ukilinganisha na vyama vingine vilivyopo.Right. Monopoly ya CCM kutumia nguvu ya dola sio tatizo?
Narudia kusema CCM ni wapuuzi wenye afadhali ukilinganisha na vyama vingine vilivyopo.
Kwanza hakuna chama kinachompigania mwananchi, vyama vilivyopo ni FURSA za watu kupiga pesa, Ajira na kujitajirisha.
Ushahidi upo, mengi tumeyaona tangu mwaka 1995.
Ccm ni janga la taifaNarudia kusema CCM ni wapuuzi wenye afadhali ukilinganisha na vyama vingine vilivyopo.
Kwanza hakuna chama kinachompigania mwananchi, vyama vilivyopo ni FURSA za watu kupiga pesa, Ajira na kujitajirisha.
Ushahidi upo, mengi tumeyaona tangu mwaka 1995.
Wewe umewahi Kukamba SUMU ili ujaribu kuona kama inaua kweli ??Vyama vingine vilivyopo viliwahi kushika madaraka lini kwenye hii nchi?
Unamuuliza nani?Kwa maana yako bundle la chuo halistahili kutumiwa?
Jibu hoja kiongozi.. watu wanahoji miaka 60 ya uhuru chini CCM nchini imeshindwaJana kuna mtu kaumizwa mwendo kasi au ndio hilo bando la chuo!
Namuuliza msaidizi wa gaidi HamzaUnamuuliza nani?
Una umri gani ndio nitakujibu?Jibu hoja kiongozi.. watu wanahoji miaka 60 ya uhuru chini CCM nchini imeshindwa
1. Kujenga madarasa na kutengeneza madawati
2. Kusambaza katika kila sehemu nchini wakati nchi ina mito na maziwa ya kutosha
3. Kupata Wahandisi wabobezi wa kutengeneza miundombinu imara.
4. Kama serikali ya CCM inashindwa kutoa Mawakili wasomi rejea kesi ua Mbowe
5. Nchi imegawanyika vipande katika kupatikana kwa nishati ya Umeme. Sehemu kubwa nchi ipo gizani
6. Miaka 60 ya uhuru nchi imeshindwa kuwa na viwanda vyetu tunashindwa hata kutengeneza kondomu
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Anayekujibu ni wa gaidi Mbowe!Namuuliza msaidizi wa gaidi Hamza
Wewe umewahi Kukamba SUMU ili ujaribu kuona kama inaua kweli ??
Ni sahihi kabisa CCM kutumia Nguvu yoye kuhakikisha jawa wapuuzi hawaingii jikoni, maana wakiingia tu nchi inabaki MIFUPA.
Hongera kwa kushika nafasi iliyo wachwa na HamzaAnayekujibu ni wa gaidi Mbowe!
Hamza ameshakwenda tumuombee Mungu ampe kauli thabiti na amuondolee adhabu za kaburi kuliko kumtaja kihuni!Hongera kwa kushika nafasi iliyo wachwa na Hamza
Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo
Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa dunia, CCM yenyewe hata ishu ya madawati wameshindwa kusolve miaka yote hii ya kuwa madarakani.
Leo hii Nchi imekauka kaukau, maji hakuna, umeme wenyewe ni wa mgao. Nchi ina maziwa makubwa mengi na mito lukuki lakini serikali za CCM zimeshindwa kusolve hizi ishu.
Sasa kitu gani CCM wanachojua?
1. Wanajua kucontrol mass ya wananchi, kuwapumbaza, kuwalaghai na kufanya uzandiki
2. Wanajua kumbambikizia watu kesi za kisiasa, kutumia dola ili kubaki madarakani
3. Wanajua kufanya ubadhirifu na kutumbua pesa za umma, safari zisizo na tija, kupeana vyeo serikalini kutokana na koo, angalia wanavyogawiana nafasi kutokana na kuwa huyu ni mtoto wa fulani alikuwa na cheo fulani zamani
4. Mipango mibovu, na priorities feki
Leo unaenda kununua midege wakati watu hawana maji ya kunywa ya uhakika, shule hazitoshi, umeme siyo wa uhakika. Hata hiyo Stieglers ikikamilika, megawatts 2000 bado ni peanut, nilitegemea kuona tunaanza projects leo za kuzalisha megawatts kuanzia 10000 na kuendelea
Tatizo kuu la CCM ni Low IQ
Wenzao wa chama cha kikomunisti wanachukua wanachama based on merits, na watu wenye merits wana IQ nzuri. Sasa CCM inachukua watu kutokana na uwezo wao wa kusifu na kujipendekeza au uwezo wao w kumtukana Mbowe, What do you expect?
Hawa Low IQs wataifikisha nchi wapi

CCM wanatua nguvu nyingi kushindana na upinzani kuliko kutatua KERO za wananchi hili ni tatizo kubwaKila chenye mwanzo huwa kina mwisho. CCM ya miaka hiyo ya 70 ilikuwa ni CCM chama halisi cha watu na ndio maana ajenda zao ziligusa moja kwa moja makundi sahihi ya wanajamii na raia na kuziaddress changamoto zao directly kwa kuwasikiliza wanachotaka.
CCM ya sasa inakosa sifa hiyo kwasababu wamekuwa si chama cha watu tena bali ni kampuni ya wachumia tumbo na watafuta mirija ya upigaji na kujipatia chochote ambacho kwao wanaona ni kitu cha kutafuna.
Maisha kwa sasa ugumu wake si wa asili bali ni wakusababishiwa na hila za watendaji ambao wanaiga mfumo wanaouona kwa wakubwa zao wa kazi ambazo ndani ya huo mfumo wanachofanya ni kuhujumu mipango ya maendeleo ili wanainchi wajione masikini na wao ndio wakombozi wao.
Kama swala la maji tokea mwaka 2016 alipokuwapo magufuli maji yalikuwa yakikatika basi haitazidi saa 24. Ila kwasasa hali ni tofauti maji yanakatwa kiholela kwa zaidi ya siku nane (8) bila taarifa yoyote, unapiga Dawasco unaambiwa kina cha maji kimeshuka. HIVI KWELI JAMANI?! HUU HUONGO WA MIAKA YA TISINI NDIO WAKUTUMIA MIAKA HII?!
Siku moja nakumbuka magufuli alichunguza na kugundua kuwa kule idara ya maji huwa kuna hujuma hufanywa kusudi na mafundi kwa maagizo ya wakubwa wao wa kazi. Kublock maji na kuyafungulia yaendelee mtoni huko. Ili raia tukose maji wao waweze kufanya biashara ya kuuza maji huku mijini especially maeneo yenye idadi kubwa ya watu kama mbezi na kimara.
Hizi ni hujuma za kipumbavu sana na wahusika wanajulikana maana ni watu wenye vitambulisho vya kazi na wameshika ofisi au kitengo husika ni swala la kuwasimamisha kazi na kuwahoji tu kwa mbinu za kiintelijensia.
Ila cha kusikitisha CCM na watu wake wapo tayari kutia nguvu kupambana na maswala ya mitandaoni, sijui upinzani na manini nini ila sio nguvu kupambana na uhujumu ambao unafanywa na watendaji wao.
Kwa mimi nimeshachoka na hiki chama na watu wake wasio na tija kwa taifa hili. I think it's time wapaki virago waondoke wakafanye michezo yao huko jalalani sisi tunataka siasa za maendeleo sio siasa za mashindano ya vyama.