Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

Hamza ameshakwenda tumuombee Mungu ampe kauli thabiti na amuondolee adhabu za kaburi kuliko kumtaja kihuni!
Kila anayekufa siyo kwamba anastahili kuombewa maana kuna wengine walikuwa na roho za kisheitwan
 
Bado tuna nafasi ya kusajili chama kisicho na mashiko yoyote vikundi vya watu, taasisi, au taifa lolote. Chama kwaajiri ya wanainchi, kutoka kwa wanainchi, kwaajiri ya wanainchi.
 
Walichoweza ni kujiimarisha na kukamilisha hawatoki madarakani kirahisi

Hakuna jengine

Angalia January kaingia ili kuleta mgao wa umeme sasa hawa ndio ccm pure na akili zao shetani meko alikuwa wa kuja
Kutoka watatoka tu ni swala la kuamua na wao wanalijua hilo ndio maana wapo haraka sana kudhibiti na kupiga marufuku mijadala yoyote ya kimaendeleo au kimabadiliko sababu wanajua wazi wao hawasimamii hayo mambo hata kidogo.
 
Kuna chama kipya kinaitwa Chama cha Umoja
Bado tuna nafasi ya kusajili chama kisicho na mashiko yoyote vikundi vya watu, taasisi, au taifa lolote. Chama kwaajiri ya wanainchi, kutoka kwa wanainchi, kwaajiri ya wanainchi.
 
Bado tuna nafasi ya kusajili chama kisicho na mashiko yoyote vikundi vya watu, taasisi, au taifa lolote. Chama kwaajiri ya wanainchi, kutoka kwa wanainchi, kwaajiri ya wanainchi.
 
Sio hayo Tu hata madundu ya vyoo vya shule za Msangi wameshindwa kuchimba.
 
OGOPA TAIFA RAISI WAKE ANACHAGUA WAKUU WA WILAYA,WAKUU WA MIKOA,WAKURUGENZI WA WILAYA ,WAKURUGENZI WA MASHIRIKA NA TAASISI ZOTE,MARASI MADASI NA KILA TEUZI. HIVI KWELI RAISI ANAWAJUA HAO WOTE WASIFU WAOO. JAMANI TUNAHITAJI MABASILIKO. WENGINE SIEAKINA PANGU PAKAVU TIA MCHUZI,TUWAPIGIE KURA SIE
 
Kutoka watatoka tu ni swala la kuamua na wao wanalijua hilo ndio maana wapo haraka sana kudhibiti na kupiga marufuku mijadala yoyote ya kimaendeleo au kimabadiliko sababu wanajua wazi wao hawasimamii hayo mambo hata kidogo.
Ma ccm ni chanzo cha umasikini kwa WATANZANIA
 
Ndiyo maana wanaikumbatia hii katiba iliyopo maana kuna upenyo wa kuwalinda.
 
Nchi kama Malaysia na Singapore zimepata uhuru baada yetu lakini kimaendeleo zimeshatuzidi. Ziko mbali. Tena ni nchi ndogo kuliko Tanzania. Siye bado tunasuasua.
 
Dawa ni katiba mpya itakayoruhusu wagombea binafsi
Hii itasaidia sana kupunguza ushabiki wa vyama. Kuna watu kama sisi hatupendi vyama vyote vilivyopo nchini lakini tungependa kuwapigia kura wagombea binafsi.
 
Tena maji yako Ardhini ni swala la kuyachimba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…