Hivi sheria ya offside haiwezi kufutwa?

Hivi sheria ya offside haiwezi kufutwa?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini?

Na msingi wa hii sheria ni nini?

Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
 
Pole sana aisee

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Betting zimetuletea watu wa ajabu sana kwenye football.
Ulivyokua mdogo wakati wenzako wanacheza mpira wa miguu we ulikua unacheza rede au?

Maana hata demu ambae hajawahi kugusa mpira hawezi kutoa huu ushauri
 
Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini?

Na msingi wa hii sheria ni nini?

Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
Nimekaa na mshabiki wa mediama kaniambia mediama na yanga watacheza fainali 😇😇😇😇😇.Nipo na akili za mwenyekiti msaidizi
 
Yanga bwana huwa hamuachi kunishangaza 🤣😂🤣😂🤣
Simba walipotolewa na Ud Songo pamoja na timu ya botswana kwa kanuni za magoli ya.ugenini jamaa zetu walichekelea Sana. Lakini wao walipokosa kombe kwa kanuni ya goli la ugenimi wakaanza kulalamika Mara Sheria haifai, UEFA washaifuta kwa kifupi hawaeleweki
 
Fikra zao ni fupi sana ndiyo maana huwa wana misimamo na mitazamo ambayo baadae huwa inawageukia wenyewe.
 
Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini?

Na msingi wa hii sheria ni nini?

Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?

Mkuu lile ni goli kabisa yani ni vile tu tumehujumiwa hata VAR ingeweka mpira kati……nasemajeee tumehujumiwa
 
Acha akili mgando, wakitoa Hio sheria mpira utakua sio mpira tena, strikers wa team A wataweka kibanda kwenye goli la timu B hivyo italazimu mabeki wa timu B kukaa nyuma kuwakabili...

Hivyo hivyo strikers wa team B nao watakua wamekaa tu karibu na lango la team A kupelekea mabeki wa team A kukaa nyuma kuwazuia...

Kwa io unataka tukae dakika 90 kuangalia mechi kati ya viungo tu au??

Hizi sheria waliozitunga ni vichwa kweli kweli na ndo maana Kila mara Kuna maboresho madogomadogo yanafanyika kutokana na mapendekezo ya makocha na wachezaji wastaafu pia....

We ukishiba makande bunju...unataka sheria zibadilishwe
 
Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini?

Na msingi wa hii sheria ni nini?

Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
Mechi ya Jana ndo imesababisha haya yote? Makosa ya Mwamuzi mmoja hayawezi kusababisha sheria nzuri kubadilishwa. Binafsi nawashangaa CAF Kwa michuano yake mikubwa kiasi hiki kushindwa kuweka VAR.
 
Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini?

Na msingi wa hii sheria ni nini?

Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
Ifutwe halafu Yanga wote mkajae golini ili mfunge au?
 
Back
Top Bottom