Hivi sheria ya offside haiwezi kufutwa?

Labda niulize wataalamu wa soka hii sheria ikifutwa madhara yake yatakuwa ni nini?

Na msingi wa hii sheria ni nini?

Hivi hata kucheza offside trick sio ushahidi kuwa sometimes hii sheria inatumika vibaya na ni sababu nyingine ya hii sheria kufutwa?
Ifutwe kwasababu Yanga imenyimwa goli la offside?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…