Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Aaah wapi 😅Hahaha kwanza unaweza kuta tushaonana ni vile hujui tu huyu ni Jo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi 😅Hahaha kwanza unaweza kuta tushaonana ni vile hujui tu huyu ni Jo
Aaah wapi 😅
Hahah nakwambia kweli tena, unaweza kuta mi ndo mchizi wako wa ubani ni vile hujui tu kama nipo jeiefu
Formular yake anayo DAB alikuwa anapambana na shisha fake enzi za uhai wakeWakuu mm ni wa mikoani huku hebu nitoeni ushamba kidogoHivi inavutwaje hasa,na inawekwa kwenye kifaa kipi?
Kama ikiwa ni moja ya machizi wangu itakuwa unyama sana siku nikikujua
Ila wewe usinijue 😀
Ni kama kuna mchizi wangu mmoja humu (ni ke), mimi namjua lakini yeye hanijui na karibu kila wiki nakutana naye...
Siku akija kunijua nahisi atanimind sana...
cocktail ni mkia wa kuku.Yaan hiyo cocktail siijui na sijawahi kuiona
Hii bahati ya kujua ID ya mtu ninayemfahamu nje ya JF sijawahi kuipata asee
Ishi na mimi vizuri Jo 😊