Aaah wapi πHahaha kwanza unaweza kuta tushaonana ni vile hujui tu huyu ni Jo
Aaah wapi π
Hahah nakwambia kweli tena, unaweza kuta mi ndo mchizi wako wa ubani ni vile hujui tu kama nipo jeiefu
Formular yake anayo DAB alikuwa anapambana na shisha fake enzi za uhai wakeWakuu mm ni wa mikoani huku hebu nitoeni ushamba kidogoHivi inavutwaje hasa,na inawekwa kwenye kifaa kipi?
Kama ikiwa ni moja ya machizi wangu itakuwa unyama sana siku nikikujua
Ila wewe usinijue π
Ni kama kuna mchizi wangu mmoja humu (ni ke), mimi namjua lakini yeye hanijui na karibu kila wiki nakutana naye...
Siku akija kunijua nahisi atanimind sana...
cocktail ni mkia wa kuku.Yaan hiyo cocktail siijui na sijawahi kuiona
Hii bahati ya kujua ID ya mtu ninayemfahamu nje ya JF sijawahi kuipata asee
Ishi na mimi vizuri Jo π