KERO Hivi shughuli za namna hii, Serikali imezibariki?

KERO Hivi shughuli za namna hii, Serikali imezibariki?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana

Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda kutamuuuu

Ova
Dkt. Gwajima D

Haya mambo nayaona sana huko IG kewenye page ya dj shebby na dj mtasha yani mashoga yanajiachia na hao madada wanajiita wa mjini.
Cc @dr gwajima
 
Kama vile tunavyoona raha kuangalia movie za black Americans zilizojaa matusi na tunaona ni culture, nadhani hata uswazi wana aina yao ya ustaarabu ndio maana wengi wanaoutukanwa mitandaoni kama sio wife materials, bado wana ndoa zao

Kwa hiyo nachokions kikubww ni mitandao tu Ila vibaokata kama vingekuwa vinaoneshwa kwenye Tv toka enzi hizo. Vitu vingi tusingevishangaa
 
Huwa najiuliza watabaki wanaume wangapi? Hali inatisha kwa watoto wa kiume. Kila ukiona hizo sherehe zao, mashoga wapya wameibuka. Nao wanajiona wanawake, hizo sherehe ndiyo wamejaa na zinasambazwa.

Wengine wanaona wanahisi ndiyo maisha. Hivi huyu Mama hawezi, hata siku akawafokea hao wanaoendesha hizo sherehe, waache kuvunja maadili na waache kuwaonyesha mashoga? Wenye watoto wa kiume tunaishi wimawima 😪
 
Kama vile tunavyoona raha kuangalia movie za black Americans zilizojaa matusi na tunaona ni culture, nadhani hata uswazi wana aina yao ya ustaarabu ndio maana wengi wanaoutukanwa mitandaoni kama sio wife materials, bado wana ndoa zao

Kwa hiyo nachokions kikubww ni mitandao tu Ila vibaokata kama vingekuwa vinaoneshwa kwenye Tv toka enzi hizo. Vitu vingi tusingevishangaa
Sahihi,
Kutaka kumfanya FaizaFoxy afanane na Yasinta wa Tandahimba ni kumuonea tu.
 
HIvi sijui ni nani aliwadanganya watu kuwa ukitukana mitusi mikubwa mikubwa ndio utaonekana wewe ni mjanja na mtoto wa mjini
😂🤣 Niko mahali hapa Bagamoyo mwezi Sasa. Kuna jamaa tuko nao hapa kila neno lenye mkazo kwenye sentensi wanasindikizia na tusi Tena lile tusi kubwa la kiungo Cha akina mama...... Mtu MMOJA ananiambia ukiona hivyo hao wamekulia gengeni.... Sijajua maana yake.
Ila watu wa Pwani matusi ni kama pipa na mfuniko....
 
Back
Top Bottom