KERO Hivi shughuli za namna hii, Serikali imezibariki?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
😂🤣 Niko mahali hapa Bagamoyo mwezi Sasa. Kuna jamaa tuko nao hapa kila neno lenye mkazo kwenye sentensi wanasindikizia na tusi Tena lile tusi kubwa la kiungo Cha akina mama...... Mtu MMOJA ananiambia ukiona hivyo hao wamekulia gengeni.... Sijajua maana yake.
Ila watu wa Pwani matusi ni kama pipa na mfuniko....
hiyo kukulia gengeni sijaidaka, kwamba kakulia gengeni anataja sana viungoo au? 😂
 
Serikali hii ya kifala haiwezi kukataza haya kwasababu wao wenyewe wamebariki ili waendelee kuvuna kundi kubwa kubwa la wajinga.
Basata wao wako busy na akina Ney wamitego Tu, nchi ya hovyo hii
 
Watakatazaje na ndio madhabiki wakuu
images (2).jpeg
 
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana

Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda kutamuuuu

Ova
Dkt. Gwajima D

View attachment 3161992
Huku Dodoma mashoga waliandaa party ya kufungia mwaka, ilikuwa mwaka jana 2023 kuja mwaka huu 2024 kule Ilazo kwenye apartments (jina kapuni).

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Ilazo akaja na migambo kwenye hiyo party, wacha kabisa maana milango ilifungwa, zilitembea mboko humo ndani kuanzia mashoga wasagaji mpaka raia wa kawaida waliokuwepo ukumbini. Ile siku mashoga wasagaji na wengineo hawataisahau maana wengine waliacha pochi simu na vitu vingine kunusuru roho zao. Migambo walineemeka sana siku hiyo 🤣🤣🤣
 
Safi sana

Ova
 
Safi sana

Ova
Sasa hv Dodoma mashoga wengi hukutana baa fulani hivi sena huwezi kuwajua mpaka uwasogelee japo wako smart na wana kazi nzuri na wakaka tu wa kuoa leo kesho ila ndo hivo
 
hiyo kukulia gengeni sijaidaka, kwamba kakulia gengeni anataja sana viungoo au? 😂
Nadhani alisema bandani. Sasa hapa nilipo bandani ni kibanda Cha kuuza gongo....
 
Huwa najiuliza watabaki wanaume wangapi? Hali inatisha kwa watoto wa kiume. Kila ukiona hizo sherehe zao, mashoga wapya wameibuka. Nao wanajiona wanawake, hizo sherehe ndiyo wamejaa na zinasambazwa.

Wengine wanaona wanahisi ndiyo maisha. Hivi huyu Mama hawezi, hata siku akawafokea hao wanaoendesha hizo sherehe, waache kuvunja maadili na waache kuwaonyesha mashoga? Wenye watoto wa kiume tunaishi wimawima 😪
Mi kinachonishangaza ni huyo mwanamke kutukana mitusi mikubwa hivi kwa maneno, si angevua tu tuione..!! 😀😀😀
 
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana

Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda kutamuuuu

Ova
Dkt. Gwajima D

View attachment 3161992
Twafwa!
 
Huwa najiuliza watabaki wanaume wangapi? Hali inatisha kwa watoto wa kiume. Kila ukiona hizo sherehe zao, mashoga wapya wameibuka. Nao wanajiona wanawake, hizo sherehe ndiyo wamejaa na zinasambazwa.

Wengine wanaona wanahisi ndiyo maisha. Hivi huyu Mama hawezi, hata siku akawafokea hao wanaoendesha hizo sherehe, waache kuvunja maadili na waache kuwaonyesha mashoga? Wenye watoto wa kiume tunaishi wimawima 😪
Duuh nimependa kauli Yako!
 
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana

Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda kutamuuuu

Ova
Dkt. Gwajima D

View attachment 3161992
Serikali ndio inaaandaa na kuratibu mwenge,ambapo kazi kubwa ni kulewa usiku kucha,kuimba nyimbo za matusi na kufanya mapenzi/uzinzi hadharani Kila halmashauri kwenye hii nchi,kwa kila mwaka,...........itakua huo upumbavu wanaofanya waswahili?.......
 
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana

Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda kutamuuuu

Ova
Dkt. Gwajima D

View attachment 3161992
Haya mambo hayapo kwingine. Yapo Dar tu. Uongozi wa Dar ufanye kazi yake.
 
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana

Naona haya mashuguli yanazidi kushamiri na kuwa fashion. Naona Serikali kama imezibariki au! kweli nchi inaenda kutamuuuu

Ova
Dkt. Gwajima D

View attachment 3161992
Raha jipe mwenyewe, Uswazi sihami kamwe.
 
Back
Top Bottom