KERO Hivi shughuli za namna hii, Serikali imezibariki?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
hiyo kukulia gengeni sijaidaka, kwamba kakulia gengeni anataja sana viungoo au? πŸ˜‚
 
Serikali hii ya kifala haiwezi kukataza haya kwasababu wao wenyewe wamebariki ili waendelee kuvuna kundi kubwa kubwa la wajinga.
Basata wao wako busy na akina Ney wamitego Tu, nchi ya hovyo hii
 
Huku Dodoma mashoga waliandaa party ya kufungia mwaka, ilikuwa mwaka jana 2023 kuja mwaka huu 2024 kule Ilazo kwenye apartments (jina kapuni).

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Ilazo akaja na migambo kwenye hiyo party, wacha kabisa maana milango ilifungwa, zilitembea mboko humo ndani kuanzia mashoga wasagaji mpaka raia wa kawaida waliokuwepo ukumbini. Ile siku mashoga wasagaji na wengineo hawataisahau maana wengine waliacha pochi simu na vitu vingine kunusuru roho zao. Migambo walineemeka sana siku hiyo 🀣🀣🀣
 
Safi sana

Ova
 
Safi sana

Ova
Sasa hv Dodoma mashoga wengi hukutana baa fulani hivi sena huwezi kuwajua mpaka uwasogelee japo wako smart na wana kazi nzuri na wakaka tu wa kuoa leo kesho ila ndo hivo
 
hiyo kukulia gengeni sijaidaka, kwamba kakulia gengeni anataja sana viungoo au? πŸ˜‚
Nadhani alisema bandani. Sasa hapa nilipo bandani ni kibanda Cha kuuza gongo....
 
Mi kinachonishangaza ni huyo mwanamke kutukana mitusi mikubwa hivi kwa maneno, si angevua tu tuione..!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Twafwa!
 
Duuh nimependa kauli Yako!
 
Serikali ndio inaaandaa na kuratibu mwenge,ambapo kazi kubwa ni kulewa usiku kucha,kuimba nyimbo za matusi na kufanya mapenzi/uzinzi hadharani Kila halmashauri kwenye hii nchi,kwa kila mwaka,...........itakua huo upumbavu wanaofanya waswahili?.......
 
Haya mambo hayapo kwingine. Yapo Dar tu. Uongozi wa Dar ufanye kazi yake.
 
Raha jipe mwenyewe, Uswazi sihami kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…