Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Inahuzunisha sana,kwenye video YouTube unakuta mchina ana kiworkshop cha kimtindo tu anacheza na hiko kitu kama kwamba si kitu,ila hao SIDO wana mpaka Lathe machine zilizokuwa computerisedkAz zetu tunazifanya kwa kukariri
Na mkuu tumia lugha rahisi nikueleweUnda kwenye solid work, weka vipimo sawa tafuta chuma kama hiyo nenda kwenye mashine ya fiber laser cutting kazi kwisha...
Itakua maana sasa hivi wanatumia mchanga tu kutengeneza karatasi sisi michanga ipo kibao nenda mpelekee professor Kitila Mkumbo mwambie debe 2 za mchanga hizi hapa nitengenezee karatasi kwanza atakutolea macho km amebanwa makende...je wachina wanaozitengeneza hizi parts wanatumia bits kutoka mbinguni?
Sawa,hiyo aliyokuchongea matundu yake yalikuwa mm ngapiNjoo pm nikupe namba ya jamaa Yuko Dar anachonga hizo maana hata mimi alinichongea kwa ajili ya pellets machine yangu
Ishu kuchonga chuma na kukitoboq na si kutoboa peke yakePlate thickness ni ngapi?
Hapo mbona ulipeleka hapo Gerezani kuna milling kibao wanakutobolea vizuri tu.
Kuna katakana kuke sioGerezani kariakoo ungeshamaliza mchezo
Chuma unene wqke ni 25mmPlate thickness ni ngapi?
Hapo mbona ulipeleka hapo Gerezani kuna milling kibao wanakutobolea vizuri tu.
Kuna software inaitwa solid work, hiyo itachukuliwa vipimo na size ya hayo matundu, chuma au plate itawekwa sawa na ile unayotaka wewe ujazo wake alafu itakatwa na fiber laser cutting machine hataka ina threads itachongwa. Uko mbeya??Na mkuu tumia lugha rahisi nikuelewe
Sawa,hiyo aliyokuchongea matundu yake yalikuwa mm ngapi
Sawa,hiyo aliyokuchongea matundu yake yalikuwa mm ngapi