Unhetaja aina ya Laser cutter inayokata chuma sio Kila laser cutter inawezaSIDO wana mashine kubwa lakini za kizamani bila laser cutter(na sidhani kama wanazo) hapo hutoboi
Unhetaja aina ya Laser cutter inayokata chuma sio Kila laser cutter inawezaSIDO wana mashine kubwa lakini za kizamani bila laser cutter(na sidhani kama wanazo) hapo hutoboi
Lengo uchonge yenye vitundu vya mm ngapi
Bado sijaichonga,ila tupo kwenye mazungumzo
Hivi laser si ni miale flani hiviUnhetaja aina ya Laser cutter inayokata chuma sio Kila laser cutter inaweza
Ya Ngoswe mwachie NgosweNa mkuu tumia lugha rahisi nikuelewe
AiseeUnda kwenye solid work, weka vipimo sawa tafuta chuma kama hiyo nenda kwenye mashine ya fiber laser cutting kazi kwisha...
naunga ujumbe mkono.Aisee
Unanikumbusha wakati nimemaliza digirii ya uhandisi, nimetoka na AutoCAD na SolidWork kichwani,basi kilanikiingia karakarana naanza kuogelea hizo, watu wananitolea macho tu
Nikaja kujua huo ni umachino bila uhalisia
Kuanzia hapo nikawa nawasikiliza wahenga huku nikiwafubdisha ninayojua, tuakenda nao vizuri
Ujumbe: Acha Shobo na vimisimiati vya chuo
siyo miale, ni mihonziHivi laser si ni miale flani hivi
Sijajua unamaanisha nini.Hivi laser si ni miale flani hivi
We fala mimi chuo sijasoma hayo mambo ila ni master kiraka. Hicho kitu nafanya. Nina mashine ya CNC na fiber laser plus mashine zingine large format printer, 3d printer, laser cutting, mashine za UV zote unazozijua siongei kitu ilimradi. Nina vijana wa MUST wengi tu nimewaajiri. Angalia historia yangu humu jukwaani nimeanza chini hadi sasa nipo into many fields sio industry hiyo tu hadi kwenye mausafirishaji. Mefi wewe na chuo chako ulichosoma.Aisee
Unanikumbusha wakati nimemaliza digirii ya uhandisi, nimetoka na AutoCAD na SolidWork kichwani,basi kilanikiingia karakarana naanza kuogelea hizo, watu wananitolea macho tu
Nikaja kujua huo ni umachino bila uhalisia
Kuanzia hapo nikawa nawasikiliza wahenga huku nikiwafubdisha ninayojua, tuakenda nao vizuri
Ujumbe: Acha Shobo na vimisimiati vya chuo
Pilipili mwendo kasi siyo? ila nasikia wanatengeneza pia kalasha za kusaga mawe yanayosadikika kuwa na dhahabu.wanacho weza SIDO ni kutengeneza Chachandu za kila aina.
hatari sana mkuuWe fala mimi chuo sijasoma hayo mambo ila ni master kiraka. Hicho kitu nafanya. Nina mashine ya CNC na fiber laser plus mashine zingine large format printer, 3d printer, laser cutting, mashine za UV zote unazozijua siongei kitu ilimradi. Nina vijana wa MUST wengi tu nimewaajiri. Angalia historia yangu humu jukwaani nimeanza chini hadi sasa nipo into many fields sio industry hiyo tu hadi kwenye mausafirishaji. Mefi wewe na chuo chako ulichosoma.
Wewe mbusii acha shobo, naona unaogeza tu misamiati ya kidigirii chakoWe fala mimi chuo sijasoma hayo mambo ila ni master kiraka. Hicho kitu nafanya. Nina mashine ya CNC na fiber laser plus mashine zingine large format printer, 3d printer, laser cutting, mashine za UV zote unazozijua siongei kitu ilimradi. Nina vijana wa MUST wengi tu nimewaajiri. Angalia historia yangu humu jukwaani nimeanza chini hadi sasa nipo into many fields sio industry hiyo tu hadi kwenye mausafirishaji. Mefi wewe na chuo chako ulichosoma.
Ndio mkuu hii ni za kutengeneza pellets za vyakula vya mifugoPole sana.ni ya kuzalisha chakula cha mifugo?
Aha hapo nimekusomaSijajua unamaanisha nini.
Laser cutting na laser engraving tofauti ni kwamba ya kwanza inakata na ya pili inachora KWENYE material.
Sasa KWENYE machine HIZI zipo ZINAKUWA double zikata na UNAWEZA tumia kuchora.
Mfano aina ya machine inayofanya VYOTE once ni CO2 laser cutting and engraving hii tunatumia sana Kwa material zisizo na sifa ya metal.
Zina power tofauti tofauti inayo wrzesha kukata au kuchora Kwa depth flani ya material mfano acrlyic, mbao, n.k
Alafu Kuna aina nyingine ya laser machine INAITWA fiber laser hii inauwezo WA kukata vyuma bye-bye depth ndogo MPAKA KUBWA ba hii NDO inaweza kufanya kazi ya jamaa hapo juu.
Kifupi inatumia mwanga/mionzi kufanya hiyo shughuli.
Hii ni tofauti na CNC router YENYEWE inachongavtu na kukata Kwa KUTUMIA motor na visu/cutting bits
Oksiyo miale, ni mihonzi
😂wanacho weza SIDO ni kutengeneza Chachandu za kila aina.
Wewe na elimu yako kama imeshindwa kukukomboa baki hivyo hivyo, usiniletee utahira wako hapa. Failure mkubwa wewe, nyambafu. Mwanaume una wivu wa kijinga.Wewe mbusii acha shobo, naona unaogeza tu misamiati ya kidigirii chako
Ungekuwa unavyojieleza, wala usingekurupuka na kumwambia mporipori atumie Solidworks
Unaonekana unawashwa na kielimu hicho cha chuo
Wewe kenge bado hujasemaWewe na elimu yako kama imeshindwa kukukomboa baki hivyo hivyo, usiniletee utahira wako hapa. Failure mkubwa wewe, nyambafu. Mwanaume una wivu wa kijinga.