Hivi SIDO Mbeya ndio wa kushindwa kunichongea spare part hii?

Kuna software inaitwa solid work, hiyo itachukuliwa vipimo na size ya hayo matundu, chuma au plate itawekwa sawa na ile unayotaka wewe ujazo wake alafu itakatwa na fiber laser cutting machine hataka ina threads itachongwa. Uko mbeya??
Nipo.mbeya mkuu
 
Hii hapa kuna mchina kunitengenezea yupo Dar,nilikosea kumwambia vipimo hasa thickness nataka anitengenezee nyingne ya 25mm.
 
Ona wachina wanavyoitoboa kama wanakunywa wanzuki vile kama huyu drilling machine yake ni ya kawaida tu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…