Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Hahaha kwahiyo kwenda nje ya TANZANIA unaona ni mafanikio.. ila masikini bhana. Mimi sijiproud kwakuwa ni social media. Fukua nyuzi zangu huo ndio uhalisia wangu wa maisha ila namshukuru Mungu najimudu naweza kwenda popote mahali popote enda hakuna katazo lolote la mamlaka husika. Hizo term sijagoogle ila nimeishi nazo sasa ni takribani 12yrs.Wewe kenge bado hujasema
Na elimu yangu haikuhusu, sababu ninachofanya nje ya Tanzania na wadhifa nioliokuwa nao kwa kutumia elimu yangu hautakuja kufikia.
Usilete mbaambaa za sosho media kujimwambafai eti nina cnc na laser mara 3d printer, haujaulizwa!, ubofyabofya mitandaoni kudukua majina ueonekane unajua mbusii wewe
Kaa kwa kutulia
Mbona amepewa solution simple tu ya drill matundu na kuna inawezekana kama ilivyokwenye hizo video
Eti weka solidwork halafu piga laser matundu, wewe fundi maiko kaa kimya
Kichwa pumbu unajihami sana, hii inaonyesha kabisa mweupeHahaha kwahiyo kwenda nje ya TANZANIA unaona ni mafanikio.. ila masikini bhana. Mimi sijiproud kwakuwa ni social media. Fukua nyuzi zangu huo ndio uhalisia wangu wa maisha ila namshukuru Mungu najimudu naweza kwenda popote mahali popote enda hakuna katazo lolote la mamlaka husika. Hizo term sijagoogle ila nimeishi nazo sasa ni takribani 12yrs.
Sasa wewe endelea kubeba box, sijui ni mteule wa rais ila hainihusu, take your time enjoy your life na mimi nifanye yangu basi. Banks, mali tulizonazo , hisa n.k zetu ndizo zinaamua kiwango cha ukwasi au liquidity tulichonacho. Nyambafu, masikini na limbukeni mkubwa wewe. Sikukutuma mimi uende nje ya nchi ukaliwe alafu ulete wivu kwa wanaume.
Nitoe tongotongo, weka hapa kurasa zako za paspoti yako huku ikionyesha hizo nchi ulizokwenda, funika taarifa zako binafsi lakini weka kurasa zinazogongewa viza ili nikae kwa kutulianaweza kwenda popote mahali popote enda hakuna katazo lolote la mamlaka husika.
Prof. Mkumbo siyo fani yake hiyo.Itakua maana sasa hivi wanatumia mchanga tu kutengeneza karatasi sisi michanga ipo kibao nenda mpelekee professor Kitila Mkumbo mwambie debe 2 za mchanga hizi hapa nitengenezee karatasi kwanza atakutolea macho km amebanwa makende...
Sishindani ila unaleta ligi za kitoto. Baki na unachojua. Pambana.Nitoe tongotongo, weka hapa kurasa zako za paspoti yako huku ikionyesha hizo nchi ulizokwenda, funika taarifa zako binafsi lakini weka kurasa zinazogongewa viza ili nikae kwa kutulia
Dick head kelele nyingi, haya maliza mjadala sasa tuone
Oksiyo miale, ni mihonzi
Hajamwambia mleta mada atumie SOLIDWORKS. Amezungumzia Kwa manufacturer ndiye anaye takiwa kuanza na SOLIDWORKS, nadhani SOLIDWORKS itasaidia hata kuandaa program ya kutengeneza hicho kitu kwenye CNCWewe mbusii acha shobo, naona unaogeza tu misamiati ya kidigirii chako
Ungekuwa unavyojieleza, wala usingekurupuka na kumwambia mporipori atumie Solidworks
Unaonekana unawashwa na kielimu hicho cha chuo
Mimi mwenyewe waliniambia wanatafuta hiko chuma cha kunichongea spare part hii kutoka kwenye makalasha ya wachinaPilipili mwendo kasi siyo? ila nasikia wanatengeneza pia kalasha za kusaga mawe yanayosadikika kuwa na dhahabu.
Njoo chuga utatuliweNimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je wachina wanaozitengeneza hizi parts wanatumia bits kutoka mbinguni?
Mfano wa spare parts hizo
View attachment 3516183
Nimeona hizo Flanges zikiwa sizes tofauti. Mimi niko katika hii field ya engineerings, jamaa wanaposema hizo cutting's zinavunjika ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mojawapo ni wakati una drill hizo hole unatakiwa usi apply pressure kubwa na isiwe deep cut, maana bits zina cutting tip sasa ikiivunja hiyo kazi itakuwa ngumu kidogo kama hujui jinsi yakuzinoa, mfano mdogo ni sawa na penseli yenye mcha iliyochongoka wakati unaiandikia unahitaji utaalamu kidogo ili isivunjikeNimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je wachina wanaozitengeneza hizi parts wanatumia bits kutoka mbinguni?
Mfano wa spare parts hizo
View attachment 3516183