Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Wallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata umepatwa na nini Gerson!
Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka!