Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Unaongelea nini? Hueleweki.Wallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata umepatwa na nini Gerson!
Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka!
Mkuu umechanganyikiwa ?Wallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata umepatwa na nini Gerson!
Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka!
Anapambania tumbo lake na la familia yake yeye hando, kitenge, zembwela ni walewale tuWallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata umepatwa na nini Gerson!
Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka!
Huenda aisee!Mkuu umechanganyikiwa ?
Atakuwa ni WA kwanza kufutwa kazi? Kwani wewe hapo ikoje?Wallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata umepatwa na nini Gerson!
Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka!
Wallah sipati picha!

Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka[emoji419][emoji375]Wallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata umepatwa na nini Gerson!
Haki ya Mungu kwa ninavyowajua wabongo anguko lako ni ngojewa na sijui wapi uso wako utauweka!
Atakuwa kama ndungaiWallah sipati picha!