Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

Mimi nakuambia kwenye haya makanisa yetu ya kilokole wallah kuna vituko mahala pengine aibu unaona wewe . Sio kote wala si wote ila kuna mahubiri mengine unaona kabisa hapa ni mihemko binafsi ya mchungaji
 
Mnaandika na kuposti vitu havieleweki sijui huwa mnafikiria nini?
 
Back
Top Bottom