Hivi siku hizi Diamond ni mwanamuziki au socialite?

Hataki kunyonywa wakati hao mnaowaita wanyonyaji ndiyo anazunguka nao kila siku mara jiwe la mwezi mara fiesta.
Kutengeneza pesa kwenye mziki ni zaidi ya kuwa mkali.
Kati ya kendrik lamar na drake nani mkali lakini je nani anatengeneza pesa zaidi?
 
Alikiba na Diamond kwa sasa washabuma, hawana uwezo wa kutengeneza HIT SONS tena, wamebaki kutumia UMAARUFU wao tu na kujipa FARAJA za mitandaoni na REKODI za YouTube. Na kibaya zaidi Domo amekuwa mropokaji sana siku hizi, anajivunia UFUSKA utadhani ni jambo la kawaida tu na Dunia ushaiweza. Jamaa amezidisha MADRAMA ya NGONO utafikiri yeye tu anajua saana kuliko kila mtu na kibaya zaidi ashazoeleka, HASHTUI tena

- Aslay kafanikiwa sana mwaka huu kutengeneza HIT SONGS nyingi ( Kama akiwa BRANDED Vizuri, akaachana na MADRAMA ya NGONO akaandaliwa show hata ya ASLAY NIGHT Kiingilio 50,000 MLIMANI CITY anabadili upepo wa GAME, Watu washachoka na MUZIKI wa KIKI akifuatiwa na BEKA FLAVOR.
- Wasafi naona HARMONIZE anajitahidi ila apunguze MIDRAMA ya NGONO kuzidi kazi
 
Asante kwa kuuelewesha umma
 
Anaitwa kipusa[emoji36][emoji36][emoji16][emoji16][emoji91][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Lakini hayo unayosema maisha binafsi ndo yanauua mziki wake, maana hashtui tena maisha unayoyasema w ndo yana kiki kuliko mziki wake leo hii unatoa nyimbo na msanii mkubwa kama rick rozy alafu cha kushangaza sijui hata umepotelea wapi..?
umewaza LAKIN UJUE!
hakyamama hata mi nakuunga mkono!
na ni team diamond haifai ila hapa pa kwenye muziki hapa!
ah nashindwa kupaelewa kabisa!

ANAYEPAELEWA ANISAIDIE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…