elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Hataki kunyonywa wakati hao mnaowaita wanyonyaji ndiyo anazunguka nao kila siku mara jiwe la mwezi mara fiesta.Tatizo wamewekeza kwenye Youtube za kutengeneza zaidi ya fans...kuanzia Mond..Ali Kiba na wengneo badala ya vipaji atlst Aslay kipaji chake kikubwa ad kumkosoa mtu nafsi inakusuta ndie msanii mkubwa Bongo sema Musician Mugl hawajamkubali cz naamini atak kunyonywa kmaslahi
Kutengeneza pesa kwenye mziki ni zaidi ya kuwa mkali.
Kati ya kendrik lamar na drake nani mkali lakini je nani anatengeneza pesa zaidi?