haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo.
Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ? nitaweka wapi sura yangu? eem Mungu kinusuru kizazi changu/ na cha wengine kiujumla, malezi yamekua changamoto sana.
Mwanangu itambidi kwanza asitumie simu ya smart hadi atakapoolewa, atatumia laptop, na kiswaswadu tu.