Hivi siku ukikutana na video chafu ya mwanao utakuwa na hali gani?

Hivi siku ukikutana na video chafu ya mwanao utakuwa na hali gani?

Hilo jambo ni hadi likukute ndio utajua umefanya nini. Hii ya kuongea kabla ya tukio huwa ni illusion tu. Tukio kama hilo huwa linaamsha hisia na mhemko wa tofauti. Unaweza jikuta unalia tu, au unapiga hadi unaua, mwingine unaza kuta anazimia tu. Ni matukio flani hivi rahisi kuyazungumzia kabla yatokee ila magimu ku deal nayo yakitokea
Kweli umeongea...kichaa anachekesha tu kama sio ndugu yako.
Watoto hawa,Yani Kuna mambo unawaza mzazi wa huyu mtoto ansjisikiaje?
 
Kuna muda huwa naona wale Taliban kule Afghanistan wako sahihi kabisa kuminya uhuru wa wanawake na watoto wa kike.

Watoto wakike na wanawake wakipewa uhuru uliopitiliza, wanafanyaga matukio ambayo yatakuacha na bumbuwazi, presha, heart attack, paralysis na shinikizo la damu.
 
Kweli umeongea...kichaa anachekesha tu kama sio ndugu yako.
Watoto hawa,Yani Kuna mambo unawaza mzazi wa huyu mtoto ansjisikiaje?
Ipo hivyo mkuu. Kuna mambo ni rahisi kuyaongelea ukiwa na akili timamu kuwa utafanya hivi na vile likikukuta. Kuna matukio yakikukuta unaweza jikuta tu umepigwa na gazi na kukaa chini mwenyewe bila kujua ufanye nini.
 
Back
Top Bottom