Hivi siku ukikutana na video chafu ya mwanao utakuwa na hali gani?

Wanasema tu hao kuwa watapiga waue ila siku akimuona jembe lako linamwaga uno Kwa mwanaume mwenzake ndyo hapo utakapo jua kuwa Kuna nguvu duniani ambayo hukujua kama inahitajika nayo ni nguvu ya kiroho.

Mana moyo wako hauwezi kukubali hayo mambo.
 
Daaah mkuu acha tuu even mee nimewaza snaa aiseeee..

Mi kama ni mwanangu yaani siku hiyo tapiga hiyo mbwa huku nalia..

Yaani takua napiga hadi nang'ata kabisa an piga piga hovyo hovyo..

Siku hiyo
..... Mkuu wallah kwanza nishaanza pata hasira hapa nahisi kama ishatokea kweli kwangu
Mkuu hata nguvu za kupga utakosa
Maana wewe ndo utakuwa umepigwa na kitu kizito
 
Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo.

Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ? nitaweka wapi sura yangu? eem Mungu kinusuru kizazi changu/ na cha wengine kiujumla, malezi yamekua changamoto sana.

Mwanangu itambidi kwanza asitumie simu ya smart hadi atakapoolewa, atatumia laptop, na kiswaswadu tu.
Mkuu, kiswaswadu ni kibaya kuliko smartphone, browswer za kiswaswadu zinafungua kila kitu japokuwa haziplay video online,
Smartphone ina ulinzi kuaccess site chafu ambazo zinapelekea watoto kuiga hiyo michezo japokuwa akiamua kuna namna ana Access.

Kinachoharibu watoto ni marafiki, hasa hasa hawa watoto wa kike wanaolelewa eti kisasa, unampa uhuru wa kuwa na marafiki wengi ili iweje?

Hapo ni kuomba tu mtoto awe na akili za kufikiria na kujua kitu fulani ni kibaya, kama mwanao hawezi basi kwisha
 
Huo upuuzi wangefanya bila kurekodi, maana kila mtu ana mchezo wake mchafu kama ilivyo puli kwa vitoto vya kiume, issue ni video ndio imeharibu kila kitu
 
Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo.

Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ? nitaweka wapi sura yangu? eem Mungu kinusuru kizazi changu/ na cha wengine kiujumla, malezi yamekua changamoto sana.

Mwanangu itambidi kwanza asitumie simu ya smart hadi atakapoolewa, atatumia laptop, na kiswaswadu tu.
No comment!
 
Daaah mkuu acha tuu even mee nimewaza snaa aiseeee..

Mi kama ni mwanangu yaani siku hiyo tapiga hiyo mbwa huku nalia..

Yaani takua napiga hadi nang'ata kabisa an piga piga hovyo hovyo..

Siku hiyo
..... Mkuu wallah kwanza nishaanza pata hasira hapa nahisi kama ishatokea kweli kwangu
Usimalize maneno mkuu.
 
Back
Top Bottom