Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Daah mkuu ๐๐๐ yaani hapo ndio pabaya sana hasa kwa mtoto wa kiume pia kama akivuka hapo hajielewi, kwishaaMiaka migumu sana ni kuanzia 17 hadi 22 hapa panahitaji muscle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah mkuu ๐๐๐ yaani hapo ndio pabaya sana hasa kwa mtoto wa kiume pia kama akivuka hapo hajielewi, kwishaaMiaka migumu sana ni kuanzia 17 hadi 22 hapa panahitaji muscle
Huwa inaniuma sana nikiona neno "Watoto wa 2000๐๐๐" kwani hawa watu wamefanya anasa kuliko kizazi chochote duniani ?๐๐๐Unadhani hao watoto wanafichwa information au ni maamuzi yao tu?
Hawa watoto wa 2000 kuna kipi wasicho kijua?
Mkuu unajua jana ndio nimepata zile video daaah aiseee hTareee sana..Mkuu hata nguvu za kupga utakosa
Maana wewe ndo utakuwa umepigwa na kitu kizito
Unataka kusema et nitafurahi auUsimalize maneno mkuu.
Ebu nitumie na mm nilaani hiki kitendo ๐Nitumie.
Daahnina jamaa nimesoma nae ana mtoto wa kiume form 1 dogo kashikwa na simu kufatilia dogo kahongwa na mwarabu koko mmoja huwa anamtifua dogo mtaro
jamaa kapeleka malalamiko polisi na ushahidi, mwarabu kadakwa. ndugu wakampa m10 afute kesi kakomaaaa mwarabu kafungwa kakata rufaa, kashinda sa hivi yuko nje
yule dogo (mtoto wa mshkaji) siku nimekutana nae njiani ananiambia mambo (huku kabana pua ) dogo nilimzibua maana mimi na babake tumecheza pamoja hawezi niambia mambo
mbaya zaidi dogo sa ivi analiwa na wenye hela dingi kasha amua kuwa mpole
haya mambo yanaumiza mnooo
Una disable camera..Laptop ikipata access ya internet haina tofauti na simu kila kitu unapata na ziada big screen so haujatatua tatizo bado
kisha mtoto anamkana kua hamjui, kila mtu afate kilichompeleka kitambaaAttumiwa nauli na bwana ake arudi Tabata ๐ ๐ uje ukutane nae Kitambaa cheupe
Au maisha yake yote yanakuwa gerezani itokee namna wampe na uhuru kidogoKabisa yaani natengeneza namna,akae hata miezi sita mtaani wamsahau,akitokea namuamisha mji.
Hapa nimekuelewa ila umesahau kitu kimoja laptop ndio smartphone ya sasa kilichofanyika ni transformation tuMwanangu itambidi kwanza asitumie simu ya smart hadi atakapoolewa, atatumia laptop, na kiswaswadu tu.
Baba uwe mtata mkoloni mkoloni authoritative family leader kwisha habariInatakiwa watokee watu au wasomi wa kusaidia hili jambo, namna gani mzazi anaweza kumwokoa mwanae, maana kwa hii dunia hapana aisee
Ila kweli, mtu ukiwa mkoloni, pia serikali isiingilie baadhi ya adhabu za kifamiliaBaba uwe mtata mkoloni mkoloni authoritative family leader kwisha habari
Mtoto anafuata amri zako ukisema kurudi mwisho saa 12 ikizidi hata dakika 5 kachelewa kurudi kwata, huyu mtoto hawezi akaenda kujirekodi uchi hata iweje maana anajua baba akijua ataniuaIla kweli, mtu ukiwa mkoloni, pia serikali isiingilie baadhi ya adhabu za kifamilia
Nenda Telegram sehamu ya kusearch andika babaamina ingia ule mamboziko wapi?
Hawa watoto mbona kama kipaji chao sio kusoma ni kufokonyoana??Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo.
Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ? nitaweka wapi sura yangu? eem Mungu kinusuru kizazi changu/ na cha wengine kiujumla, malezi yamekua changamoto sana.
Mwanangu itambidi kwanza asitumie simu ya smart hadi atakapoolewa, atatumia laptop, na kiswaswadu tu.
Hawa watoto mbona kama kipaji chao sio kusoma ni kufokonyoana??Yani nimepita mtandaoni nimeona mjadala wa watoto wanaodaiwa walikua wanafunzi wa shule fulani picha zao cha uchi zimevuja mtandaoni. Nimewaza sana hali ya wazazi wao sijui ikoje kwa sasa, imagine mtoto hata miaka 25 hajafikisha anakupa kadhia kama hiyo.
Nawaza yakinikuta mimi nitafanye ? nitaweka wapi sura yangu? eem Mungu kinusuru kizazi changu/ na cha wengine kiujumla, malezi yamekua changamoto sana.
Mwanangu itambidi kwanza asitumie simu ya smart hadi atakapoolewa, atatumia laptop, na kiswaswadu tu.
Katika familia yetu hakuna mtoto aliyechezea bakora za kutosha kama mimi, lakini sasa mzee ananikubali sana hadi nashangaa,Mtoto anafuata amri zako ukisema kurudi mwisho saa 12 ikizidi hata dakika 5 kachelewa kurudi kwata, huyu mtoto hawezi akaenda kujirekodi uchi hata iweje maana anajua baba akijua ataniua
Kwa hayo malezi huwezi kufanya ujinga maana lazima unyooshwe tu na utanyooka tu utake usitakeKatika familia yetu hakuna mtoto aliyechezea bakora za kutosha kama mimi, lakini sasa mzee ananikubali sana hadi nashangaa,
lazima na mimi nipite mule mule kumuenzi, kwa Vitu ambavyo mimi nilifanya na namna ambavyo mzee alinilea niliona kama ananitesa lakini faida yake naiona sasa, yule mzee amenitenbezea bakora nyingi sana,
nakumbuka sometime nimegombana na mtu lakini mimi ndio wa kuadhibiwa hata kama nimepigwa na mwenye kosa sikuwa mimi