Hivi Simba huwa ni uwezo wenu au kuna la ziada?

Upo kwa Mkapa unatolewa jasho na waliopanda daraja halafu mnajiona mna bonge la timu.
Basi Sisi Hatuna Bonge La Timu Tufanye Nyie Ndo Mna Bonge La Timu Na Mnaongoza Ligi Na Kwenye Ufungaji Mchezaji Wenu Mzamiru Ndo Anaongoza Kwa Magoli 11.
 
Nazungumzia klabu bungwa sio ligi kuu
 

Kwa ulaya hakuna timu inakuwa na Guarantee ya kuwa lazima ya kupata matokeo nyumbani kwake maana hakuna kingine zaidi ya kucheza mpira, hivyo yeyote aliyejipanga vyema anaweza kupata matokeo.

Liverpool alitolewa kwa kufungwa goli tatu pale pale Anfield dhidi ya Atletico Madrid

Atalanta kafumulushiwa huko huko kwao dhidi ya vilareal
Chelsea kafungwa na Madrid hapo hapo darajani kwao
Benfica kafungiwa huko huko kwao
Juventus katolewa na kufungwa huko huko kwao
Ajax katolewa kwa kufungwa huko huko kwao
Man U kapigiawa huko huko kwao
Liverpool vs Inter walibadilishana tu uwanja, kila mmoja akishindia ugenini kwa mwenzie.
Lile kafungwa kwao dhidi ya chelsea.

Hizo ni baadhi ya mechi za hivi karibuni ulaya, kama hakuna kingine zaidi ya mpira kuchezeka uwanjani, timu yoyote inaweza kupata ushindi popote pale.

Kwa upande wa mashindano ya Caf

1) Orlando pirates kashinda mechi mbili away
2) Soura, Al Ittihad, pyramid, Al Ahl Tripol wameshinda away na kutoa sare
3) Mamelody hakupoteza hata mechi moja away
4) Raja Casablanca, Es Tunis na Wydad Casablanca washinda mechi mbili away

Zipo timu zilizopata ushindi wa mechi moja moja away kama vile Petro de Luanda, Amazulu, Es Setif, Belouizdad
 
Uzi wa hovyo sana. Simba ikifungwa ziada haipo, ikishinda kuna ziada. Akili zenu sijui zikoje? Simba imefungwa na Jwaneng kwa Mkapa, kwa hiyo unafikiri simba haikupenda kuendelea CAF champions mpaka wasitumie hiyo ziada kama ipo?
 
Simba ilishinda away na ikafungwa nyumbani na Jwaneng Galaxy.

Sheria ya goli la ugenini iliwekwa kwa kuona timu nyingi zinapata shida kushinda ugenini na kuona timu nyingi zinapaki basi ugenini.

Nadhani uwepo wa corona umewafanya sheria waifute kwa vile hata advantage ya mashabiki kuwepo uwanjani haikuwepo.


Mpaka sasa hivi Simba ina uhakika wa 800M. Level ya umakini inakuwepo kimataifa. Na ikitokea imemtoa Orlando kama 200M inaongezeka kwa hii 800M. Na heshima juu.
 
Banda ameshasema.......Simba mechi za nyumbani wananunua waamuzi
Ununuzi wa mechi ndo huwafanya waonekane, waulize Berkane, goli halali linakataliwa baada ya Makolo kupenyeza rupia, hili Abdi Banda analijua.
 
Mwenyekiti Mangugu alitangaza kuwa kuanzia mechi ya Biashara Mara Simba itaanza harakati zake kupunguza gepu la point, mara tukaanza kuona washika vibendera wanaruhusu magoli ya offside ya Simba, magoli halali ya timu pinzani kufutwa. Kelele zilipigwa marefa wakawekwa semina. Mangugu anaweza kukuthibitishia kwamba Simba wanashinda kwa kununua waamuzi.
 
Kwa nini Makolo washinde kwa Mkapa tu, huo ni ubora wa aina gani? Jibu liko wazi, wananunua waamuzi.
 
Mkumbushe kaizerchief alifika fainali ya klabu bingwa afrika matokeo yake ya nyumbani yalikuwaje
 
Mashabiki wa utopolo hawana akili kabisa luc eymael hakukosea kuwaita mambwa, nyani mnabweka bweka hovyo
 
Sheria ya goli la ugenini imefutwa wapi?
 
Man u juz wamepigwa, sikia wewe sio mdau wa soka , sema tu kwa kua mpira umekua very popular now day bas kila mtu anaufatilia,
Hakuna Tim haijawah fungwa , Jana umeona yanga wamepataje gori , isingekua Ile penalty wangetoka kbsa FA , na ingekua ni ligi bas wangetoka sare kama simba NBC ,

Simba tumekaziwa Sana , mbeya city, biashara

Tim kubwa zinakaziwa mno elewa Hilo ,
 
Hili nilishaliongelea hapa hawa jamaa figisu nyingi hasa wakiwa hapo kwa mkapa
Game yeyote nje ya hapo kwao ni kiyama....wee fikiria hawa wanashindwa kumfunga mbeya city kule mbeya tena mbeya city wanashinda game wakiwa nusu..!
Wanakuja kushindwa kumfunga Mtibwa kule mashamba ya miwa....eti leo hii timu kubwa toka nje gender marie inakuja kufa 4 kweli??
Ndio kusema gender marie ni dhaifu ghidi ya Mbeya city?
 
Sawa utopolo yanga mechi za ugenini mmeshinda ngapi kimataifa kwa mpira mnaocheza yanga kimataifa nyie mtasulubiwa tu hamtoboi na wale wachezaji wenu wenye vitambi endeleeni kujidanganya hvyo hvyo sisi tupo league inakaribia kuisha tutawaona kimataifa wazee wa the return of champions.
 
Kwa nini Makolo washinde kwa Mkapa tu, huo ni ubora wa aina gani? Jibu liko wazi, wananunua waamuzi.
Kumbe simba ni team tajiri kama ndio hvyo waache kununua mechi ya dodoma jiji wakanunue mechi ya CAF si mlisema simba haina hela sasa hzo za kuwapa waamuzi wanazitoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…