Oyaaa wee mzeeWahindi wacheza kamari huenda hapa hii timu inachezeshwa kamari tu
Baada ya kufirisika eee,nani asiyewajua ninyi? Mlikuwa na sifa sana kipindi cha usajili huo ueledi mmeamza lini?Ninachokiona Msimbazi kwasasa ni weredi ñdio unafanya kazi. Kabla ya kusajili ni lazima uwe na kocha.
kinachotusumbua baadhi yetu ni uswahili tuliouzoea. Huo uswahili uliotamaraki kwa sasa uchurani ndio unafanya muone simba haipo serious. Binafsi naipenda style ya simba kwa sasa.
Haaaaahaaaaa hawezi jibu hiiNitajie timu yenye mafanikio makubwa duniani na mmiliki wake ni mhindi au anatoka India
Muogope Mungu ndugu miaka mingapi? Ni miaka 4 sio 5 na ndani ya hyo miaka kuna mwaka mlitolewa mapemaaa na ud songo na juzi hp mkapopolewa na galaxy msijisahaulishekuchukua mara nne mfululizo sio mafanikio? kufika robo fainali miaka mitano mfululizo sio mafanikio? kabla ya huyo muhindi mlikua mnaishia wap?
Muda ni mwalimu mzuri usije meza manenoHakuna jipya pale simba kwa Sasa hivi. Zimebaki siasa tupu za viongozi.
Viongozi wenye nia njema na simba hawawezi kugawanyika kumjadili Mugalu et abaki au aondoke.Mchezaji wa kigeni goli 0 ligi kuu bado unamjadili et abaki au la! Upuuzi mtupu.
Wachezaji aina ya Mugalu hapa Tz ni wengi mno lakini kiongozi anakaa kumtetea Mugalu apewe mkataba mpya halafu useme wako serious na usajili kweli?
Mara 5 mfululizo? Hebu tukumbushane vzr miaka ipi hyo kwa kumbukumbu zng mambo hayo wananchi ndio huwa tunafanya rekodi zipoHata kabla ya Mo dewji kuja kuwekeza pale Simba washachukua ligi Mara tano mfululizo na hata kufika fainali ya Caf champions league
Mafanikio ya mpira ni kushinda vikombe au mataji makubwa kama lilivyo lengo la simba
Timu nyingi zinazofanya vzr duniani wamiliki wake ni waarabu kama alivyo Gharib Said Mohammed
Kama we ni mpigaji jipange sana.
Hiyo crisis ni ipi na nani anaijua?
Usijisahau na kututukana sie mashabiki ndio tunaipa nguvu club.
Lazima tuwalaumu kwa uongozi wa hovyo kwani hiyo miaka 4 wengine mlikuwa kama sisi tu.
Mwisho acheni kujidai wazungu wakati mnacheza ngoma za kibongo tu
[emoji867]Sasa hapa unataka nichague kujadili hoja au kujibu matusi uliyonitukana?
Okay, mimi nitachagua kujibu matusi yako, kisha nitarudi kwenye hoja baadae:-
Kilaza, Mpumbavu, famba, anaeharisha uharo ni yule aliyekubali kutunza shahawa tumboni mwake ili mwisho wa siku atuletee takataka isiyojua chochote zaidi ya kutukana(wewe).
Si bora angetotoa kreti la bia watu tukanywa?
Yani kisa Aziz Ki hajasajiliwa ndo uwaone viongozi wajinga? Toa hela zako basi tusajili vizuri.
Wewe umeujua vipi utajiri wa Simba na ule wa Yanga kiasi cha kuulinganisha??Timu km Ahly,Wydad,Berksane hawakuwa siriaz sana yaani sio kipaumbele chao wana wachezaji wengi level ya Aziz au hata zaidi ya Aziz wangeamua hasa Yanga tusingeweza bishana nao huo ndio ukweli ila nyie hamna hela ya kubishana nasi kifedha kwa sasa
Umepanick tayari😂[emoji867]
Mkuu Kuna mijinga humu Hadi sio poa .Wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu tu.
Kwani waliotuambia kuwa Simba inaweza kumsajili mchezaji yoyote ni akina nani?
Ni nani waliotuambia wanataka kumsajili Adebayo?Au Aziz K?Sio hao hao viongozi kujaribu kutufanya sisi maembe?
Kama kweli ni hawana hela,kwa nini walikataa udhamini wa Azam TV?
Au kama kweli hawana pesa,kwa nini hawauzi kadi za uanachama na watu wengi wanazihitaji?
Tusichoshane,sisi mashabiki hatutaki upumbavu kutuletea maneno ya janja janja na kutumia magazeti uchwara kuleta sifa za kijinga.
Kama hawana hela waseme sio kujipiga vifua wakati hawana moyo wa kutoa au hawana hizo pesa
Rasmi ; Yanga Sasa mali ya GSM .Wananchi hawana chao tena.
Unaongelea usajili wa Hinonga, Sakho na Kanoute?Kuna vitu havipo sawa pale,msimu uliopita viongozi waliweka siri ktk usajili kumbe matokeo yakawa hivyo wachezaji waliowaleta wanajua wenyewe, msimu huu unaoisha tunahitaji quality players lakini utasikia mara mchezaji yule hatukumuhitaji,au alitaka dau kubwa sasa wachezaji wazuri unawapata vipi bila kutoa pesa?
Wataweka usiri sana ktk usajili mashabiki tukiamini wapo seriously ktk kutafuta wachezaji ila utaona matokeo yake
Sasa mtafanya nini?Mkuu Kuna mijinga humu Hadi sio poa .
Hao hao viongozi ndio hutuletea taarifa kutaka kutuhadaa alafu wakifel sisi tufanyeje badala ya kuwaona wanaleta siasa kwenye mpira.
Sasa Kuna michawa humu haitak tuongee et kisa hatutoi hela za kulipa mishahara hao wachezaji .
Sajili za uhakika vs sajili za kuokotaokotaWewe umeujua vipi utajiri wa Simba na ule wa Yanga kiasi cha kuulinganisha??
Nahama kwa misingi ipi sasa na utamu wote huuyaani hata wakinunua kikubwa endelee kuwa yanga
Ananiuzi mugalu kutafuna bigi jii ndo anachojua, msieeeewShida ni njaa za baadhi ya viongozi ,hapo mtu anayetetea mugalu abaki anawinda 10 percent kutoka kwa mugalu na washakaa kuwa acha nikupambanie lakin nikifanikiwa utanipa hiki na hiki,Sasa timu ya hivyo et inataka kufika mbali kimataifa si upumbavu huu.
Yaan mugalu ndie akufikishe mbali ,mchezaji anayecheza kwa kutumia minguvu badala ya akili !
Yetu macho ,Yale Yale mbwembwe nyingi mwisho wa siku wakamsajil chama tu.