Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Kuna shida Simba hasa upande wa Management. Hapa ndipo palipotulaza na Viatu Msimu huu.

Ubahili na kutokuchukua mahamuzi ya haraka hasa panapotokea nafasi ya kupata mchezaji Mzuri pamekua na Ubahili wa kupindukia kunakopelekea kukosa Mchezaji.

Hatuwezi kusema tuna malengo ya kucheza nusu fainali ya caf kwa wachezaji wa ml 100 hizo ni ndoto za Asubui.

Timu kama Petro Atletico ya Angola wamefika nusu fainal ya Klabu bingwa mwaka huu baneti yao ni zaidi ya dola Million 20 wamewekeza wamepata matokeo.

Hatuwezi kusema tuna weka Million 800 kutafuta wachezaji Ambao watatufikisha Mbali kwenye mashindano ya kimataifa.

Nimalizie kwa kusema
Kama uongozi wa simba utafanya ujinga kama ulioufanya msimu uliopita na kutusababishia mashabiki kuzodolewa na utopolo basi ujiandae kuondoka.
 
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.

Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.

Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.

Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?

Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Tulia sindano ikuingie vizuri
 
Uko sahihi sana mkuu. Tanzania kuna shida kubwa sana ya uelewa hasa wa mpira. Usajili wa Simba sidhani unahitaji mbwembwe hizo kiivyo. Hao wanaofanya mbwembwe wanajua wanafanya kwa maslahi gani? wana uchaguzi na usajili ndo karata yao kuu. ndio maana umeona barua inatembea mitandaoni, barua ya ovyo sana. yan hata mtoto wa darasa la tatu hawezi kuielewa ile barua. logo tofauti, font tofauti nk cha kushangaza waandishi wakubwa tu wanashindwa kung'amua hilo kuona ule ujinga zaidi wanaupa promo sijui wanalipwa nn? maana kuna hela ya sasa lakini tuna uadilifu kwenye carrier yako.
Mashabiki wengi ni watoto wadogo ambao asilimia kubwa wanaishi kwa betting.

Timu wameanza kuishabikia ikiwa na mafanikio tu hivyo hawajui kuwa football kuna kupanda na kushuka.

Simba walipata generation nzuri yenye alphamale footballers wengi wakaipa mafanikio lakin wengi wao umri umekwenda hivyo lazima kuwa na kuporomoka kidogo.

Msimu uliopita usajili ulikuwa wa vijana zaidi lengo likiwa nikuanza kutengeneza generation nyingine bahati mbaya walikuta timu ikiwa kwenye kuporomoka kwa viwango kwa wachezaji karibu wote, kutokana na uchanga wao pressure ya matokeo ikawaathiri.

Simba kushindwa kumsajili Aziz Ki siyo tatizo kwanza anakuja kucheza nafasi ya nani wakati Chama yupo na eneo la Bwalya wanataka mchezaji bora zaidi ?

Tuache pressure za kitoto.
 
Wapo kwenye mazungumzo na George Mpole. Msijali next season mtatisha sana akisimama Mpole pale mbele. Sisi Yanga wajinga sana, eti tunapambana kuwasajili kina Aziz Ki, Lazarous Kambole n.k ambao hawajui kitu waje wacheze na Mayele.wakati Mayele mwenyewe hajui chochote!
 
Yaani pamoja na kumuongezea Wawa mkataba unaona hawako serious!?
 
Mashabiki wa simba bhana! Sasa mnalalamikia usajili kutoeleweka, na wakati kocha mkuu wa timu bado haja ajiliwa!

Nadhani mngewapigia kelele viongozi wenu kuajiri kocha mpya mapema iwezekanavyo, ili afanye mchakato wa kutengeneza kikosi chake cha msimu ujao.
 
Mashabiki wengi ni watoto wadogo ambao asilimia kubwa wanaishi kwa betting.

Timu wameanza kuishabikia ikiwa na mafanikio tu hivyo hawajui kuwa football kuna kupanda na kushuka.

Simba walipata generation nzuri yenye alphamale footballers wengi wakaipa mafanikio lakin wengi wao umri umekwenda hivyo lazima kuwa na kuporomoka kidogo.

Msimu uliopita usajili ulikuwa wa vijana zaidi lengo likiwa nikuanza kutengeneza generation nyingine bahati mbaya walikuta timu ikiwa kwenye kuporomoka kwa viwango kwa wachezaji karibu wote, kutokana na uchanga wao pressure ya matokeo ikawaathiri.

Simba kushindwa kumsajili Aziz Ki siyo tatizo kwanza anakuja kucheza nafasi ya nani wakati Chama yupo na eneo la Bwalya wanataka mchezaji bora zaidi ?

Tuache pressure za kitoto.
Uliaza vzr huko juu nimesomaaaa umekuja kuzingua na ushabiki maandazi wako mwisho eti ataenda kucheza namba ya nani? Nitajie wewe mchezaji wa kumuweka benchi Ki Aziz ple kwa timu ipi? Chama ana maajabu gani siku hz? Bwalya ndio haaaaaahaaaaa hovyo kabisa mna timu mbovu sana na mkileta jeuri msipokubali huu ukweli na kufanya marekebisho basi msimu ujao kazi mnayo tena
 
Hii yote imekuja kutokana propaganda zinazoendelea mitandaoni? Kwamba unaamini Simba Sc hawapo serious kwasababu wamemkosa Aziz Ki (kama unavyodai)?

Yanga imeshindana na vilabu vingapi vikibwa hapa Africa kwenye huo usajili kiasi kwamba uwaone wapo serious?? Usajili wa Simba Sc na Yanga huwa ni wa kukomoana siju zote, team A ikimsajili mchezaji basi hutengenezwa mazingira ionekane kwamba hata team B ilikuwa inamhitaji sana ili kutengeneza headlines.

We subiri Simba Sc nayo ifanye usajili kulingana ns itaksvyoona.

NB: Kwenye swala la kocha, nitaungana na wewe.
HII COMMENT YAKO IMEFUNGA RASMI HUU UZI[emoji3] Nimeandika kwa herufi kubwa sababu sioni vizuri[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wapo kwenye mazungumzo na George Mpole. Msijali next season mtatisha sana akisimama Mpole pale mbele. Sisi Yanga wajinga sana, eti tunapambana kuwasajili kina Aziz Ki, Lazarous Kambole n.k ambao hawajui kitu waje wacheze na Mayele.wakati Mayele mwenyewe hajui chochote!
LK mwenye 46 apps na goli mbili,?
 
Muogope Mungu ndugu miaka mingapi? Ni miaka 4 sio 5 na ndani ya hyo miaka kuna mwaka mlitolewa mapemaaa na ud songo na juzi hp mkapopolewa na galaxy msijisahaulishe

ewaaa, ilikua mara moja jiulize kabla ya hapo mwendo wa timu ulikuaje, michuano ya kimataifa mlikua mnaishia wap, na cha muhimu zaidi ulichangia kiasi gan kabla gachori kuja, cha ajabu zaidi nani zaidi mpaka sasa imefika mil 100, wakati gachori anatafuta bil 5 za simba kila mwaka
 
Back
Top Bottom