Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
 
Tutasubiri sana

Hiko ' Kikosi ' nakumbuka nilikuwa siumwi ' Presha ' wala sipati ' Stress ' kwani kila ' Kikicheza ' tu najua kuna ' Mtu ' atakula goli tatu ( 3 ) au nne ( 4 ). Leo nimekikumbuka sana hiko Kikosi na hata huwa nikionana na ' Mshkaji ' wangu Boniface Pawassa mara kwa mara huwa namwambia kuwa ' Wao ' ndiyo wameondoka na Simba SC ' halisi ' na hii iliyopo sasa ikicheza tu lazima ' Wapenzi ' huku ' Majukwaani ' muda wote tunabana tu ' P ' zetu mwanzo mwenga kwa kuogopa au kuhofia Kufungwa.
 
Pombe zimenifuta kumbukumbu. Hebu angusha kikosi ambacho "muuaji" Dua Said akiwemo. Hajawahi kuniangusha yule "mwokozi" wa Simba Sports Club
 
Afu wazawa tupu kasoro wasso

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
Hapo umemsahau christopher alex massawe

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Pombe zimenifuta kumbukumbu. Hebu angusha kikosi ambacho "muuaji" Dua Said akiwemo. Hajawahi kuniangusha yule "mwokozi" wa Simba Sports Club

  1. Mackenzi Ramadhan
  2. Mavumbi Omary
  3. Twaha Hamidu ' Noriega '
  4. Mustapha Hoza
  5. Frank Kassanga ' Bwalya '
  6. Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
  7. Issa Kihange
  8. Rajab Msoma
  9. Edward Chumila
  10. Malota Soma ' ball juggler '
  11. Dua Said Dua
Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
 
Kombe gani kubwa la Africa au dunia Kilichukua? Au ni ushabiki maandazi tu? Bora ungesema kile kikosi cha popadic 1993
 
Kweli Mkuu, Enzi hizo simba Mlikua simba kweli, nadhani ndio kikosi hicho hicho kilikua kinasababisha Sana kule uarabuni.

Sikuhizi nikisia Tunacheza na simba najua tutawafunga au tutadraw Tu.
 
Hapo umemsahau christopher alex massawe

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app

Huyo alikuwa ' anasubiri ' kwa Mchezaji ' Kipenzi ' changu ambaye mpaka leo bado sijaona ' Mchezaji ' yoyote anayemfikia na huyu si mwingine bali ni Patrick Betwel Buba ' Mmasai '. Makocha wengi wa Kigeni wa Simba SC kipindi kile kila walipokuwa wakimwona walikuwa wanamuuliza alikuwa anafanya nini hapa Tanzania? Kwa kukusaidia tu hata ' uchezaji ' wake ' Marehemu ' Christopher Alex alikuwa akimuiga sana ' Mtaalam ' Patrick Betwel Buba ' Mmasai '. Betwel alikuwa na kila kitu ambacho ungetaka kukiona kwa ' Mchezaji ' wa mpira hasa wa nafasi ya Kiungo wa Ukabaji au ' Kitasa '.
 
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
Daa umekumbusha mbali sana kiongozi,hapo Mzee James Sian'ga alikuwa kila siku anauhakika kwa kweli simba tusimsahau Mzee huyu.
 
  1. Mackenzi Ramadhan
  2. Mavumbi Omary
  3. Twaha Hamidu ' Noriega '
  4. Mustapha Hoza
  5. Frank Kassanga ' Bwalya '
  6. Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
  7. Isa Kihange
  8. Rajab Msoma
  9. Edward Chumila
  10. Malota Soma
  11. Dua Said Dua
Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
Ewaa.... Nimemwona Issa Kihange kwenye listi roho yangu imetulia.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukicheza mpira na ukiwa Mtu wa mpira hasa kamwe huwezi kuwasahau ' Wachezaji ' ambao Tanzania imebahatika kuwa nao kama hao akina Issa Kihange. Tupo pamoja Mkuu.
 
Ewaa.... Nimemwona Issa Kihange kwenye listi roho yangu imetulia.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Lakini vipi kile kikosi kilichofika fainali za kombe la shirikisho kilichokuwa chini ya king Kibadeni Mputa mwenye kukikumbuka atukumbushe wadau.
Huyo alikuwa ' anasubiri ' kwa Mchezaji ' Kipenzi ' changu ambaye mpaka leo bado sijaona ' Mchezaji ' yoyote anayemfikia na huyu si mwingine bali ni Patrick Betwel Buba ' Mmasai '. Makocha wengi wa Kigeni wa Simba SC kipindi kile kila walipokuwa wakimwona walikuwa wanamuuliza alikuwa anafanya nini hapa Tanzania? Kwa kukusaidia tu hata ' uchezaji ' wake ' Marehemu ' Christopher Alex alikuwa akimuiga sana ' Mtaalam ' Patrick Betwel Buba ' Mmasai '. Betwel alikuwa na kila kitu ambacho ungetaka kukiona kwa ' Mchezaji ' wa mpira hasa wa nafasi ya Kiungo wa Ukabaji au ' Kitasa '.
 
Omar mahadh
Kajole
Shaban baraza
Daud salim
Aluu Alli
Umar Gumbo
Khaidar
Athuman Mambosasa
King Kibaden
Ezekiel G Jujuman
Abbas Dilunga
Malota soma
Abdallah Mwinyimkuu
hebu endeleza
 
Back
Top Bottom