GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tutasubiri sana
Pombe zimenifuta kumbukumbu. Hebu angusha kikosi ambacho "muuaji" Dua Said akiwemo. Hajawahi kuniangusha yule "mwokozi" wa Simba Sports ClubHiko ' Kikosi ' nakumbuka nilikuwa siumwi ' Presha ' wala sipati ' Stress ' kwani kila ' Kikicheza ' tu najua kuna ' Mtu ' atakula goli tatu ( 3 ) au nne ( 4 ). Leo nimekikumbuka sana hiko Kikosi na hata huwa nikionana na ' Mshkaji ' wangu Boniface Pawassa mara kwa mara huwa namwambia kuwa ' Wao ' ndiyo wameondoka na Simba SC ' halisi ' na hii iliyopo sasa ikicheza tu lazima ' Wapenzi ' huku ' Majukwaani ' muda wote tunabana tu ' P ' zetu mwanzo mwenga kwa kuogopa au kuhofia Kufungwa.
Husein Masha, Twaha Hamidu,simba bora ya kina Mohammed mwameja, dua saidi, george masatu,
Kikosi Cha Mwisho Ni Cha Akina Mafisango
Hapo umemsahau christopher alex massaweRest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramadhani Wasso
- Boniface Pawasa
- Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
- Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda ' Garincha '
- Shekhan Rashid ' Fundi '
- Joseph Kaniki ' Golota '
- Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
- Ulimboka Mwakingwe
Pombe zimenifuta kumbukumbu. Hebu angusha kikosi ambacho "muuaji" Dua Said akiwemo. Hajawahi kuniangusha yule "mwokozi" wa Simba Sports Club
Kikosi Cha Mwisho Ni Cha Akina Mafisango
Hapo umemsahau christopher alex massawe
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Kombe gani kubwa la Africa au dunia Kilichukua? Au ni ushabiki maandazi tu? Bora ungesema kile kikosi cha popadic 1993
Daa umekumbusha mbali sana kiongozi,hapo Mzee James Sian'ga alikuwa kila siku anauhakika kwa kweli simba tusimsahau Mzee huyu.Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
- Juma Kaseja
- Said Swedi
- Ramadhani Wasso
- Boniface Pawasa
- Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
- Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
- Steven Mapunda ' Garincha '
- Shekhan Rashid ' Fundi '
- Joseph Kaniki ' Golota '
- Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
- Ulimboka Mwakingwe
Ewaa.... Nimemwona Issa Kihange kwenye listi roho yangu imetulia.Nadhani nimekidhi haja yako ' Kamarada ' wangu.
- Mackenzi Ramadhan
- Mavumbi Omary
- Twaha Hamidu ' Noriega '
- Mustapha Hoza
- Frank Kassanga ' Bwalya '
- Idi Seleman Kibode ' Nyigu '
- Isa Kihange
- Rajab Msoma
- Edward Chumila
- Malota Soma
- Dua Said Dua
Ewaa.... Nimemwona Issa Kihange kwenye listi roho yangu imetulia.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Lakini vipi kile kikosi kilichofika fainali za kombe la shirikisho kilichokuwa chini ya king Kibadeni Mputa mwenye kukikumbuka atukumbushe wadau.Ewaa.... Nimemwona Issa Kihange kwenye listi roho yangu imetulia.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Huyo alikuwa ' anasubiri ' kwa Mchezaji ' Kipenzi ' changu ambaye mpaka leo bado sijaona ' Mchezaji ' yoyote anayemfikia na huyu si mwingine bali ni Patrick Betwel Buba ' Mmasai '. Makocha wengi wa Kigeni wa Simba SC kipindi kile kila walipokuwa wakimwona walikuwa wanamuuliza alikuwa anafanya nini hapa Tanzania? Kwa kukusaidia tu hata ' uchezaji ' wake ' Marehemu ' Christopher Alex alikuwa akimuiga sana ' Mtaalam ' Patrick Betwel Buba ' Mmasai '. Betwel alikuwa na kila kitu ambacho ungetaka kukiona kwa ' Mchezaji ' wa mpira hasa wa nafasi ya Kiungo wa Ukabaji au ' Kitasa '.