Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

Hivi Simba SC tutawahi tena kuja kuwa na Kikosi imara na cha kukumbukwa kama hiki?

Alafu Zenji kuna;
-Small Simba,
-Malindi,
-Mlandege.

Ukirudi bara;
-biashara shinyanga
-rtc kagera kina mkama ntare
-ushirika ya moshi
-ujenzi hii sikumbuki ilikuwa ya wapi, sijui Rukwa???
ujenz ilikuwa ya rukwa kiongoz

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka niko mkoani saa mbili kasorobo usiku tuko redioni rtd kusubiri matokeo ya mechi zingine kipindi cha michezo.
kabisa mkuu enzi hzo ata watangazaji walikua na mbwembwe nyingi kwenye kutangaza mpira .wanakufanya ujihis kama unaangalia live kina ahmed jongo,dominic chilambo(Rip),seid mwinyi,omar jongo nk.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Sizani ngoja tuone maana hawa walikuwa wahenga walosema mtaka cha uvunguni sharti ainame

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Siyo lazima kushiriki kuchangia katika kila thread mkuu!! kuna thread za kusoma tu na kusepa kuwaacha wahusika waendelee.
Hujui alichotaka huyo tacco.. bora ukae kimya tu na wewe hatujadili mambo ya pink...pls stay away this is not your fight man...!
 
Hahahaaa nina wasiwasi kwa jinsi unavyopanic kuna beki mmojawapo alikutafunia mkeo, pole sana ndo maisha.
 
goooooo!!!!!!malota somaaa ball jugler!!!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Hamisi thobias Gaga "gaga rhino"

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
Kwa sasa ayo mambo sahau ,Mkuu habari ya pressure kwa sasa ni timu zote ispokua Madrid, Barca na Bayern zote ulaya tu. Timu kongwe za Afrika wanakua msimu mmoja vizuri msimu vibaya.

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
  1. Juma Kaseja
  2. Said Swedi
  3. Ramadhani Wasso
  4. Boniface Pawasa
  5. Patrick Betwel Buba ' Mmasai '
  6. Seleman Matola a.k.a Veron a.k.a Mzambia
  7. Steven Mapunda ' Garincha '
  8. Shekhan Rashid ' Fundi '
  9. Joseph Kaniki ' Golota '
  10. Emanuel Gabriel Mnyakyusa ' Batigol '
  11. Ulimboka Mwakingwe
Rest in peace sana Kocha James Aggrey Siang'a
zama zimebadirika, siku izi ni mwendo wa biashara tu kila sector. Sio kuchezea burudani. Ujanja ujanja tu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Kuna huyu mchezaji aliitwa "Gilbert Mahinya" nasikia inasemekana haijawahi tokea namba sita kama yake hapa Tanzania.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wetu humu JF katika Kikosi hiki ulichokitaja hapa tulikuwa katika ' Mabeseni ' tunapiga piga tu maji tukisubiri ' Kuogeshwa ' na kwenda kunyweshwa ' Uji ' wa ' Buruga '.
Kweli mkuu mwandishi angetoa na mwaka au msimu waliocheza ili tuwaulizie baba zetu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha mtanange mkali kati ya Zamoyoni Mogela na Athmani Juma 'Chama' ...akisaidiwa na Ahmed Amasha.....

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Ah
Salvatory Edward, waziri mahadhi ,sekilojo chambua ,Fred Mbuna,iddi moshi ,

Kiboko ya simba hiyo
wew uwe direct tu,ulitaka kumpgia chapuo Ali mayay, ila ukamruka kiaina. Ogopa siasa ya uchaguzi bongo.
 
Hapo umemsahau christopher alex massawe

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Victor Costa "Nyumba"... Jamaa alimkaba Osam Hasan,lile li striker hatari la Ismailia pale shamba la bibi.Hadi jamaa akataka kukimbia uwanjani...Aisee na Uyanga wangu lakini kile kikosi cha simba hata mimi nlikikubali aisee.Kina Yusuph Macho " Muso".

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
hapo kwenye 5. Victor Costa (Patrick Betwel ni season ya nyuma yake), pia Kureshi Ufunguo kabla ya Waso? Christopher Alex na Ulimboka kwenye 4 na 11. , season iliyofuata, (walitoka reli ya morogoro) No. 11. Mark Sirengo. Afu kwa ndani sometime pia alikuwa Madaraka na Nteze John. Tusker Cup yanga chini ya Tarimba ilipigwa 4-1, la tano Shekhan Rashid aliwaonea huruma akaurudishia ndani dana dana mpira ukaisha. Goli la tatu yanga walianza kurusha chpa za maji n.k.!
Acha matusi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Omar mahadh
Kajole
Shaban baraza
Daud salim
Aluu Alli
Umar Gumbo
Khaidar
Athuman Mambosasa
King Kibaden
Ezekiel G Jujuman
Abbas Dilunga
Malota soma
Abdallah Mwinyimkuu
hebu endeleza
Zamoyoni mogella
allan shomari
raphael paul.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom