Hivi Simba Sports Club imewahi kuchukua kombe gani la Kimataifa?

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Imezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo mashindano ya kimataifa? Au nao ni wasindikizaji tu kama wasindikizaji wengine?
 
Usindikizaji nao unatofauliana. Anayesindikiza na ndala miguuni hufika mbali kuliko anayesindikiza miguu peku.
Wape simba heshima yao wamefanya ukapanda ndege kwenda kumwagiwa nje ute unaoteleza huko Nigeria na River united
 
Nashukuru umekubali kuwa Simba S.C nao ni wasindikizaji kimataifa kama hao wasindikizaji wengine, kwaio Hawa watu wanaotamba kuwa Simba S.C ni babalao kimataifa wanatakiwa wakapimwe akili??
 
Washinde Kombe Kwa Wachezaji Gani Pale? Mzamiru Na Bocco Au Mugalu [emoji23]
 
Tusker Cup mara 6 (mshindi wa pili mara 1)
Cecafa Cup mara 5 (mshindi wa pili mara 6)
CAF mshindi wa pili mara 1.

Set the record straight. Weka za Yanga.
Ivi Hayo Nayo Ni Makombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tusker Cup mara 6 (mshindi wa pili mara 1)
Cecafa Cup mara 5 (mshindi wa pili mara 6)
CAF mshindi wa pili mara 1.

Set the record straight. Weka za Yanga.
Kumbe tunaposema Simba S.C babalao kimataifa tunakuwa tunamaanisha waliwahi chukua Tusker cup 6 na Kagame cup 5???
 
Akili za mashabiki wa utopolo(yanga) ni za kipumbavu na kijinga sana!
Ni mazwazwa ya hovyo kabisa…
 
Wewe si umetaka vikombe vya kimataifa ndo hivyo sasa!
Au ungesema kwenye uzi wako ili tujue vikombe vipi vya kimataifa unavyotaka wewe.
Iyo kagame cup na Tusker cup unakumbuka mmechukua mara ya mwisho lini ?
 
Wewe si umetaka vikombe vya kimataifa ndo hivyo sasa!
Au ungesema kwenye uzi wako ili tujue vikombe vipi vya kimataifa unavyotaka wewe.
Basi Makombe Yenyewe Ndo Hayo Muache Kutupigia Kelele Aisee..
 
Huo muda wa kukomenti vitu visivyohusiana na Mada si ungeutumia kupiga mswaki ili ulale kinywa chako kikiwa safi

Ungekuwa huna akili za kipumbavu ungeweza kung’amua kwamba nilichokoment kinahusiana vipi na mada yako ya kipuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…