mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Imezuka kasumba kwa washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba S.C kutamba kuwa wao ndio wawakilishi wazuri kwenye michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu, Je wamewahi shinda nini huko kwenye hayo mashindano ya kimataifa? Au nao ni wasindikizaji tu kama wasindikizaji wengine?