Hivi Simba Sports Club imewahi kuchukua kombe gani la Kimataifa?

Nyie mshaibeba simba mara ngapi kwenda kimataifa?heshimu anaekubeba kila msimu kwenda kushiriki kimataifa...tofaut na hapo tutaamua ss iv aende hata mtibwa sugar maana nyie kila mkienda ni kututia tu aibu huko nje
Simba haijawahi mbeba yanga kwenda kimataifa, na haina uwezo huo yanga anaenda kimataifa kutokana na kuwa mshindi wa pili (sasa nambie huo ushindi wa pili wa yanga simba ndo alichangia Ama juhudi zake)
 
Tafuta mchezo mwingine ushabikie. Kuwa timu bora siyo lazima uchukue kombe. Belgium ndiyo timu bora ya taifa duniani kwa zaidi ya miaka minne. Lakini hawajawahi chukua kombe lolote
 
Mabingwa wa kihistoria Kagame cup, Simba Super Cup 2021
 
Simba haijawahi mbeba yanga kwenda kimataifa, na haina uwezo huo yanga anaenda kimataifa kutokana na kuwa mshindi wa pili (sasa nambie huo ushindi wa pili wa yanga simba ndo alichangia Ama juhudi zake)
Mshindi wa pili hana uwakilishi kwenye kombe mashindano yoyote. kwenye Champions league anashiriki bingwa na shirikisho anashiriki bingwa wa FA. Mbumbumbu wewe
 
Huwa nadhani mnaposema Simba ni wakimataifa mnamaaisha mashindano ya caf kumbe ni wakimataifa kwa Tusker na Kagame cup?
Iyo mada mpya sasa kama vipi ianzishie thread twende nayo ila uweke na mipaka ukisema kimataifa unamanisha nchi zipi au wapi na wapi ili ukipewa majibu usihamishe magoli,ila swali la huu uzi si mshalipata?
 
Nyie mshaibeba simba mara ngapi kwenda kimataifa?heshimu anaekubeba kila msimu kwenda kushiriki kimataifa...tofaut na hapo tutaamua ss iv aende hata mtibwa sugar maana nyie kila mkienda ni kututia tu aibu huko nje
Simba ni lini imeleta furaha kimataifa? Ni mwaka gani ambao imeleta kikombe cha caf? Au wewe unafurahia Simba S.C kutolewa kwa goli 4 na TP Mazembe na Kaizer Chief?
 
Nadhani lengo langu nilitakiwa kujua kama je wameshawai kushinda kikombe chochote cha caf? Paka sasa sijapata jawabu lolote kutoka kwa mdau yeyote wa Simba S.C kuhusu swali langu zaidi ya kujificha kwenye makombe ya bonanza
Haijawahi kushinda kombe lolote CAF, kwa Afrika Mashariki ni GorMahia pekee kutoka Kenya imewahi kufanya hivyo. Over kama umenisoma.
 
W
Simba haijawahi mbeba yanga kwenda kimataifa, na haina uwezo huo yanga anaenda kimataifa kutokana na kuwa mshindi wa pili (sasa nambie huo ushindi wa pili wa yanga simba ndo alichangia Ama juhudi zake)
We elewa tupeleka team nne ikiwemo hyo utopolo
 
Nafikiri hoja yako ingesomeka hivi: Mafanikio ya Simba na Yanga kwenye mashindano ya Kimataifa. Usisahau kuweka na rank za CAF kwa kila club
 
Mshindi wa pili hana uwakilishi kwenye kombe mashindano yoyote. kwenye Champions league anashiriki bingwa na shirikisho anashiriki bingwa wa FA. Mbumbumbu wewe
Unatumia nguvu nyingi akili ndogo, mwaka jana yanga hajawa bingwa wa fa wala ligi na kashiriki champions league ilikuwaje eleza hapo Ili ugundue wewe n mpumbavu grade A
 
Tafuta mchezo mwingine ushabikie. Kuwa timu bora siyo lazima uchukue kombe. Belgium ndiyo timu bora ya taifa duniani kwa zaidi ya miaka minne. Lakini hawajawahi chukua kombe lolote
Swali langu nadhani haujalielewa au umeamua kupotosha kwa makusudi kwa sababu ya unazi wako usiozingatia weledi, mimi nazungumzia ile kasumba ya wadau wengi wa Simba wanaojivunia mafanikio ya Simba kimataifa, sasa nimejaribu kuyatafuta hayo mafanikio nimeyakosa, nimefungua uzi ili wadau kama wewe muyalete badala yake unaanza nishambulia nikashabikie mchezo mwingine
 
W
We elewa tupeleka team nne ikiwemo hyo utopolo
Hahahaha yanga kajipeleka kutokana na nafasi yake kama mna uwezo wa kupeleka timu upelekeni mbeya city, .wadui, geita gold
 
Unatumia nguvu nyingi akili ndogo, mwaka jana yanga hajawa bingwa wa fa wala ligi na kashiriki champions league ilikuwaje eleza hapo Ili ugundue wewe n mpumbavu grade A
Ndiyo maana nasema wewe ni mbumbumbu. Yanga walishiriki baada ya Tanzania kuongezwa nafasi toka mbili hadi 4. kutokana na point ilizopata Simba baada ya kufika robo fainali ya Champions league. Na TFF ikaamua aliyeshika nafasi ya pili awakilishe.
 
Hapo ndipo unazidi kuthibitisha kwamba kwenye football umepotea njia. Mtu mweledi kama unavyodai anajua nini kimefanyika
 
Haijawahi kushinda kombe lolote CAF, kwa Afrika Mashariki ni GorMahia pekee kutoka Kenya imewahi kufanya hivyo. Over kama umenisoma.
Kwa maana nyingine GorMahia ndio timu pekee huu ukanda wetu wa afrika mashariki inayopaswa kusifiwa, hawa wasindikizaji wa mitaa ya kariakoo hawastahili hizi sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…