zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Simba haijawahi mbeba yanga kwenda kimataifa, na haina uwezo huo yanga anaenda kimataifa kutokana na kuwa mshindi wa pili (sasa nambie huo ushindi wa pili wa yanga simba ndo alichangia Ama juhudi zake)Nyie mshaibeba simba mara ngapi kwenda kimataifa?heshimu anaekubeba kila msimu kwenda kushiriki kimataifa...tofaut na hapo tutaamua ss iv aende hata mtibwa sugar maana nyie kila mkienda ni kututia tu aibu huko nje