Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Makolo achana naoMajamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano, piia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati(Kagame)
swali kwa watu wa simba naomba nijuzwe kama simba ana kombe kubwa zaidi ya kagame na amechukuwa ubingwa wa afrika mara ngapi
Watadai unawaonea wivu sababu klabu yao inajutajiri kuliko ya Yanga.Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano, piia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati(Kagame)
swali kwa watu wa simba naomba nijuzwe kama simba ana kombe kubwa zaidi ya kagame na amechukuwa ubingwa wa afrika mara ngapi
Tafuta hela utarukwa akili bureMajamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano, piia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati(Kagame)
swali kwa watu wa simba naomba nijuzwe kama simba ana kombe kubwa zaidi ya kagame na amechukuwa ubingwa wa afrika mara ngapi